Monday, April 23, 2012

EXTRA BONGO WAFANYA KUFURU MEEDA SINZA JIJINI DAR

 Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho la kila jumamosi katika Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam
 Dah.... kwa mariiiiiiingo
 Baadhi ya waimbaji na wacheza shoo wakicheza wimbo wa Bakutuka,utunzi wake Super Nyamwela katika ukumbi wa Meeda Sinza
 Baadhi ya waimbaji na wacheza shoo wakicheza wimbo wa Bakutuka,utunzi wake Super Nyamwela katika ukumbi wa Meeda Sinza
 Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho la kila jumamosi katika Ukumbi wa Meeda
 Rapa wa Bendi ya Extra Bongo, Kaba Tano akiiimba kwa hisia wakati wa onyesho la bendi hiyo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam
 Mpiga tumba, Salum Mussa(Chakuku) akiwajibika kutoa burudani wakati
wa onyesho la bendi hiyo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam
 Hapoooo
Mwimbaji,Redo Mauzo akiimba wakati wa shoo hiyo
 Kifaa cha Extra Bongo,Athanas Motanabe akiimba
 Kiungo,Rama Pentagoni akiimba
 Aha..

No comments: