Monday, March 12, 2012

Rais Kikwete akiongea na wazee wa Dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa Dar es salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Mh Saidi Meck Sadick na shoto ni Mwenyekiti wa wazee wa Dar es salaam Mh Iddi Simba
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa Dar es salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal akifuatuwa na Mkuu wa Mkoa huo Mh Saidi Meck Sadick na shoto ni Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa wazee wa Dar es salaam Mh Iddi Simba

 Wazee wa Dar es salaam wakimsikiliza Rais Kikwete
 Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Iddi Simba akitoa kura ya shukrani
 Wanahabari kazini kurekodi tukio hili
 Juu na picha zifuatazo ni Wazee wa Dar wakimsikiliza Rais Kikwete

1 comment:

Anonymous said...

Ndugu yangu Muhidin, picha nyingi mno hizi.......