Monday, March 19, 2012

LINAH KUWASHA MOTO PASAKA WASHINGTON DC, MAREKANI

Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah ambae yupo Washington, DC kwa kwa ziara ya TAMANI US TOUR itakayoanza rasmi April 7, 2012 kwenye kiota cha RENDEZVOUS kilichopo Rockville, Maryland wakishirikiana na mwanamuziki machachari wa hapa Washington AJ Ubao, show hiii imeandaliwa na J&P wakishirikiana na DMK Global chini ya usaidizi wa Luke Music Factory.
 
Linah akiwa Downtown DC akipata picha za hapa na pale zitakazotumika kwenye cover ya album yake mpya inayotarajiwa kutoka mwisho mwa mwaka huu.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akiwa katika pozi kwenye upigaji wa picha wa hapa na pale Downtown DC kwa ajili ya kutafuta picha itakayotumika kwenye Cover ya album yake
Linah akiwa kwenye Ukodak Moment ndani ya DC
Linah akipata picha hapa na pale ambazo atazitumia kwenye album yake mpya inayotarajiwa kutoka mwisho wa mwaka huu
Mwanamuziki wa Bongo Flava anayetarajiwa kuanza "TAMANI US TOUR" April 7, 2012 anaomba mashabiki wa DMV na vitongoji vyake kujitokeza kwa wingi kwani atawapa zawadi nzuri ya Pasaka Ujio wa Linah upo chini ya Mhe. Leticia Nyerere katika kuwatangaza wasanii kwenye anga za kimataifa.
Msanii wa Bongo Flava Linah akipata picha za hapa na pale alipokua Downtown, DC
Linah akiwa katika pozi
Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akiwa kwenye pozi kwenye kiti pozi hili linanikumbusha album ya Lionel Richie iliyoitwa Can't Slow Down aliotoa mwaka 1983 na iliyokua na wimbo uliotamba na unaondelea kutamba wa All Night Long (All Night)
Linah akiwa kwenye pozi kwenye ngazi
Linah akiwa kwenye pozi ambalo mimi mwenyewe nimekubali msanii huyu ni model mzuri

2 comments:

Anonymous said...

Ndugu yangu hicho kivazi hapo juu sicho kabisa!!!!!!! mie naona wewe ni msanii mzuri lakini unakoelekea siko kabisa upande wa mavazi. Kumbuka wewe ni mwanamke unapaswa kujiheshimu pia.

Anonymous said...

linah umeenda marekani kufanya shows au kufanya ujasiriamwili?