Monday, December 5, 2011

mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika wafunguliwa rasmi leo jijini Arusha

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akifungua rasmi mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Rais wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA) ,Bw. Errol Frank Stoove akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau akizungumza machache wakati amkimkaribisha mgeni rasmi kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA),Bw. Hans-Horst Konkolewsky akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akijadiliana jambo na Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau wakati wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii wa nchi za Afrika,Dr. Ramadhan Dau (NSSF - Tanzania),Bw. Vusi Madonsela (DSD - Afrika ya Kusini) na Bernard N'Doumi (NSIF - Ivory Cost) wafuatilia kwa makini mkutano huo.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo toka nchi mbali mbali za Afrika wakiwa kwenye mkutano huo.
Waongoza mkutano.
Baadhi ya Wahariri wa Magazeti nchini wafuatilia kwa makini mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Mashirika ya Umma (PPF),Bw. William Erio akiwa na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha leo.
Washiriki kutoka nchi mbali mbali za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha leo.
Mh. Mudhihir Mudhihir akiwa na mjumbe mwenzie wa Bodi ya NSSF.
Washiriki kutoka nchi mbali mbali za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha leo.
Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau (kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Daudi Msangi (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Mashirika ya Umma (PPF),Bw. William Erio kabla ya kuanza kwa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, Jijini Arusha.
Wadau.

Waziri Kabaka akiingia ukumbini.


No comments: