Sunday, October 30, 2011

besdei ya 8020 fashions yafana sana leo

 Mgeni Rasmi katika hafla ya kutimiza miaka 5 ya 8020 Fashions Blog, Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akisoma hotuba fupi ya ufunguzi wa hafla hiyo iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee V.I.P Hall jijini Dar es Salaam.
 Mwanzilishi na Mmiliki wa Blog ya 8020 Fashions,Shamim Mwasha a.k.a Zeze akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo ilihudhuliwa na wadau mbali mbali na kufana sana.
 Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akiwa na Da' Shamim Zeze na wadau kwenye Red Kapet.
 Mc wa Shughuli hiyo,Dina Marios (kulia) akizungumza na Da' Shamim Mwasha wakati wa hafla hiyo iliyofana sana na kupendeza.
 Wadau Mbali Mbali walijitokeza kumpa tafu Da' Shamim Mwasha katika hafla ya Besdei ya kuzaliwa kw Libeneke lake la 8020 Fashions Blog kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee V.I.P Hall,jijini Dar 
  Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akimlisha kipande cha keki Da' Shamim Mwasha.
 Mrs. Ankal (kulia) akimlisha kipande cha keki Da' Shamim,huku Mh. Angelah Kairuki akishuhudia.Keki hiyo ni zawadi maalum kutoka kwa Ankal Michuzi a.k.a Mzee wa Libeneke. 
Dina,Joyce na Sophia ni full kitenge.
Da' Mwamvita Makamba (pili shoto),Da' Mwammy Mlangwa (pili kulia) wakiwa na wadau wengune wa Vodacom Tanzania.
 Mrs Ankal akikabidhiwa Nondozz ya Ankal ikiwa ni sehemu ya Shukrani kwake kwa mchango mkubwa katika libeneke la Kublogu.













Mrs Ankal akiwa na Da' Sarah wakiingia ukumbini humo.









4 comments:

Anonymous said...

Hongera sana Zeze. Nimependa make- up yako. Ni ya ukweli. Perfect kabisa.

Anonymous said...

Big up mwanadada, am proud of you!

Anonymous said...

Hongera sana Shamim, shughuli imefana. Tukijaliwa uzima ya miaka kumi tutahudhuria

Anonymous said...

duh! hii nimeipenda sana real african (vitenge) imependeza kuliko kawaida safi sana tena sana,huu ni mfano wa kuigwa very gud indeed.