Meneja Usimamizi wa Mabenki (BOT), Eliamringi Mandari akiwasilisha
mada ya Usimamizi wa shughuli za Mabenki na Taasisi za Fedha katika
semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali inayofanyika
kwenye ukumbi wa (BoT) mkoani Mtwara, ambapo wanahabari wamepata
ufafanuzi mbalimbali katika masuala ya ya shughuli zinazofanywa na
mabenki katika biashara ya kifedha nchini Tanzania kwa kufuata sheria
kanuni na taratibu zinazosimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
Eliamringi
Mandari Meneja Usimamizi wa Mabenki (BoT) akifafanua mambo kadhaa
wakati alipokuwa akiwasilisha mada ya Usimamizi wa shughuli za Mabenki.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada katika semina hiyo inayoendelea kwa siku ya pili leo mjini Mtwara
Kushoto
ni Vick Msima Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki na
Sadiki Nyanzowa Afisa Benki Mwandamizi Idara ya Udhamini wa Mikopo
wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.
Bi.
Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT) akitoa
mchango wake katika semina hiyo kuhusu mada mbalimbali zilizokuwa
zikitolewa.
Jonson
Myella Mkurugenzi Tafiti za Uchumi (BoT) akichangia mada kuhusu
Mabadiliko ya Mfumo mpya wa Kuandaa sera ya Fedha, Mapitio ya Maendeleo
ya Uchumi nchini, Kikanda na Kimataifa Duniani iliyotolewa katika
semina hiyo.
Meneja Msaidizi Idara ya Utafiti Dkt Suleiman Missango akifafanua baadhi ya mambo kwa waandishi wa habari wakati wa semina hiyo
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa.
Bi.
Fatma Kimario Meneja Msaidizi Idara ya Udhamini na Mikopo akitoa mada
kuhusu Mifuko ya Dhamana kwa Wajasiriamali na Dhamana za Serikali
Jonson
Myella Mkurugenzi Tafiti za Uchumi (BOT), Bi. Zalia Mbeo Meneja Idara
ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT) na Eliamringi Mandari Meneja
Usimamizi wa Mabenki (BOT) wakifuatilia mambo mbalimbali wakati wa
semina hiyo.
No comments:
Post a Comment