SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli ametoa wito kwa watanzania kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kuwezesha nchi kuwa na uwezo mkubwa wa ajira na kuchochea maendeleo;https://youtu.be/vRnPp2cjNi0
SIMU.TV: Jopo kuu la upelelezi la polisi visiwani Zanzibar limefanya mahojiano maalumu na aliyekuwa makamu wa kwanza wa rais visiwani humo Maalim Seif Shariff Hamad;https://youtu.be/c6ebk0olzIQ
SIMU.TV: Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa amesema wizara yake itaweka mkazo katika diplomasia ya viwanda ili kuwezesha uwekezaji mkubwa katika sketa hiyo; https://youtu.be/RFCLfs9eTrc
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameitaka jamii ya watanzania kwa kushirikiana na serikali kulinda urithi wa taifa ili ziweze kutuletea maendeleo;https://youtu.be/DmgV5qCJ-6M
SIMU.TV: Waandishi wa habari wamekumbushwa kuzingatia maadili ya taaluma hiyo ili kuepusha migogoro inayoweza kusababishwa na matumizi mabaya ya kalamu zao;https://youtu.be/AIpBJtpBrkA
SIMU.TV: Benki yan maendeleo ya Afrika ADB imezitaka nchi za Afrika kuwekeza katika sekta ya umeme ktika maeneo ya vijijini; https://youtu.be/clhAoZnv0vc
SIMU.TV: Matumizi ya huduma za kifedha za simu kwa wakulima wadogo nchini ni madogo kwa sababu wakulima wengi hawajui kutumia huduma hizo;https://youtu.be/X5S03DGJ7GI
SIMU.TV: Kampuni ya vifaa vya plastiki Jambo Plastiki imesema maeneo mengi yenye mikusanyiko ya watu ni machafu kwa sababu hakuna vifaa bora vya kukusanyia taka;https://youtu.be/sN5BJ9_BCvY
SIMU.TV: Kampuni ya uvumbuzi ya Regency Innovation na benki ya UBA wazindua kadi inayokuwezesha kutoa fedha popote maarufu kama Visa Card; https://youtu.be/vaeL-V53ybA
SIMU.TV: Serikali imemfungia miaka mitano rais wa ngumi za kulipwa PST Emmanuel Mrundwa na shirikisho hilo kwa muda wa miaka mitano bila kujihusisha masuala ya michezo; https://youtu.be/xjO-yxpQuC4
SIMU.TV: Baraza la michezo la taifa BMT laongeza siku tano zoezi la uchukuaji fomu kuelekea uchaguzi mkuu wa klabu ya Yanga; https://youtu.be/r4xk5sbZYF8
SIMU.TV: Timu ya taifa ya Misri inatarajia kuwasili kesho nchini tayari kwa mchezo wao dhidi ya taifa stars siku ya Jumamosi; https://youtu.be/qmuWTEkRx0I
SIMU.TV: Tamasha la majimaji serebuka limeingia siku ya nne hii leo huku bingwa wa ngoma za asili akiwa tayari keshapatikana; https://youtu.be/cZ4cvhI-97o
SIMU.TV: Watu nane wakazi wa kata ya Mzizima mkoa wa Tanga wameuwa kikatili kwa kukatwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu.https://youtu.be/pTMpNrf95_E
SIMU.TV: Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ameahidi kumfuta kazi mara moja mtendaji yeyote atakaye bainika kukwamisha juhudi za kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda. https://youtu.be/klkkg9MCeok
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali inaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kulinda maeneo yenye vivutio vya utalii na kuyaendeleza kwa faida ya taifa. https://youtu.be/Spxp0paAOx0
SIMU.TV: Tatizo la udumavu wa akili kwa watoto wadogo linalotokana na ukosefu wa lishe bora limeonekana kuwa kubwa na kuhitaji juhudi za wadau kulikabili.https://youtu.be/SvlZL9dtR6Q
SIMU.TV: Mahakama ya rufaa ya Tanzania leo imesikiliza rufaa iliokatwa na mkurugenzi wa mashitaka nchini DPP dhidi ya kufutwa kwa kosa la utakatishaji wa fedha lililokuwa likiwakabili aliyekua mkurugenzi wa TRA Hary Kitilya na wenzake shose Sinare na Sioi Sumari. https://youtu.be/ASAlx0lJOI0
SIMU.TV: Halmashauri ya wilaya ya Lindi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria ambapo wamegawa vyandarua kwa familia za halmashauri hiyo. https://youtu.be/x-FZT-bKqyM
SIMU.TV: Mamlaka ya maendeleo ya biashara nchini TANTRADE imeaswa kutoa mafunzo kwa wafanyabiashra wa nyama kuhusu umuhimu wa ngozi na namna ya kutoa ngozi ilio bora na yakununulika kwa urahisi. https://youtu.be/2iVTb5LWf-A
SIMU.TV: Kampuni ya Dar Brew imewahakikishia wakulima wa zao la mtama nchini kuwa watapata soko la uhakika kutoka katika kiwanda hicho kinachotengeneza bia ya asili ya Kibuku. https://youtu.be/OROFDpZNPlc
SIMU.TV: Baadhi ya abiria wanaosafiri na ndege za kampuni ya Fast jest wamelalamikia kupata usumbufu hasa katika kusafirsha mzigo kwa kuambiwa walipie mara mbili.https://youtu.be/HsM1qNwjpRw
SIMU.TV: Timu ya taifa ya Misri inatarajia kuwasili nchini hapo kesho kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Taifa stars siku ya jumamosi. https://youtu.be/XwbzBBGNSQ4
SIMU.TV: Nyota wa kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu amejiunga na wenzake leo kambini kwa ajili ya maandalizi ya mcheo wa jumamosi dhidi ya Misri.https://youtu.be/xB8RlqjnoHE
SIMU.TV: Baraza la michezo nchini limesogeza mbele zoezi la uchukuaji wa fomu za kuomba kugombea nafasi mbalimbali katika klabu ya Yanga.https://youtu.be/i5R7_ByAUv4
SIMU.TV: Baadhi ya wadau wa klabu ya yanga wameendelea kujitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba kugombea nafasi mbalimbali katika klabu hiyo.https://youtu.be/zIqDspXWtFQ
SIMU.TV: Timu ya Golikipas ya jijini Dar es Salaam imecheza na Vingunguti Kombaini katika mchezo wa kirafiki kwa ajili ya kutafuta vipaji. https://youtu.be/WuMELZbKAxk
SIMU.TV: Wasanii kutoka vikundi mbalimbaliza vya ngoma wamepamba katika shindano la majimaji serebuka lililokuwa likiendelea katika manispaa ya Songea.https://youtu.be/yPB_JChj8xQ
SIMU.TV: Mshambuliaji chipukizi wa Manchester united Rushford ameongeza mkataba utakaomfanya aendelee kusalia katika klabu hiyo msimu ujao.https://youtu.be/437o_ahBVKU