Wednesday, June 29, 2011

SPECIAL OFFERS TO CONTINUE
NEXT VESSEL FROM TILBURY WILL NOW BE ON THURSDAY 18/07/2011 
 NEXT VESSEL FROM SHEERNESS WILL BE ON WEDNESDAY 03/07/2011
WEEKLY SERVICES FOR CONTAINER VESSELS 


SERENGETI FREIGHT FORWARDERS
            
          WAZEE WA KAZI

UNIT 21 HARBOUR HOUSE, 
RAINHAM,  RM13 9YA 
                                                                TEL/FAX 01708550434
 
MOBILE:
07903828119 (CHRIS LUKOSI), lycal 07404279633
07950689243 
(SIMON LOUIS(MOHSIN) 
FAX: 01708550434 
 
WE SHIP ALL TYPES OF CARGO TO AFRICA AT UNBEATABLE RATES, i.e CONTAINERS, TRUCKS, CARS, MACHINES ETC.WE ALSO SELL USED VEHICLES & MACHINERY FROM UK.
KARIBU/WELCOME!!!!
JOIN US  ON FACEBOOK
 NEW PRICE CUTS AS USUAL
CAR(SALOON)TO DAR OR MOMBASA from TILBURY now £720
4X4 TO DAR OR MOMBASA    from TILBURY now £800 only
.
                                  WWW.SERENGETIFREIGHT.CO.UK 
                 serengetifreight@yahoo.co.uk
                            WHY PAY TOO MUCH?
                          BEI ZINASHUKA KILA SIKU
WE CAN BEAT ANY QUOTES, YOU NAME IT!

Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya nchini Uingereza,Andy Cole awasili nchini leo

Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya nchini Uingereza,Andy Cole (katikati) akiongozana na baadhi ya Wakuu wa Kampuni ya Simu ya Airtel wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa J.K. Nyerere,mapema leo asubuhi.Andy Cole amewasili nchini leo kwa ajili ya kuhamasisha michezo mashuleli kupitia kampeni inayoendeshwa na Kampuni ya Airtel ifahamikayo kwa jina la "AIRTEL RISING STAR".
Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya nchini Uingereza,Andy Cole (pili kulia) akiwa na Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dk. Fenella Mukangara (kushoto),Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania,Sam Elangallor (kulia) pamoja  na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Makongo,Meja Celestin Mwangasi wakionyesha Jezi na Mipira itakayotumika katika katika mashindano ya AIRTEL RISING STAR yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni hapa nchini katika mashule mbalimbali.
Andy Cole (kulia) akiwa katika Mazungumzo na Balozi wa Kenya Nchini,Mh. Mutinda Mutiso (katikati) pindi walipokutana katika chumba cha kusafiria watu maalum (V.I.P Lounge) katika uwanja wa Ndege wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi.kushoto ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya.
Andy Cole akisaini moja ya picha zake.
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dk. Fenella Mukangara (kulia) akiagana na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya nchini Uingereza,Andy Cole katika viwanja vya Makongo,mara baada ya kutoa somo kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Makongo wanaojifunza kucheza mpira wa miguu.katikati ni Katibu Mkuu wa TFF,Angetile Oseah.
Andy Cole akiongozana na Baadhi ya wachezaji wa timu ya Shule ya Sekondari ya Makongo kuelekea katika viwanja vya shule hiyo kwa ajili ya kuwapa somo la mchezo wa mpira wa miguu.
Muwakilishi wa Timu ya Manchester United,Nick Humphrey (pili kulia) akitoa somo kwa wazezaji wa timu ya shule ya Makongo kabla ya kuanza kupewa somo na Andy Cole (kulia) mapema leo asubuhi.
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dk. Fenella Mukangara akitangaza kuzinduliwa rasmi kwa mashindano ya AIRTEL RISING STAR kwa shule za sekondari nchini.uzinduzi huo umefanyika leo katika shule ya Sekondari ya Makongo jijini Dar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania,Sam Elangallor akizungumza katika uzinduzi huo uliojumuishwa na ujio wa Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya nchini Uingereza na Balozi wa timu hiyo,Andy Cole.
Andy Cole akitoa somo.
Andy Cole akionyesha umahiri wake katika kulisakata kabumbu alipokuwa akitoa somo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Makongo ya jijini Dar mapema leo asubuhi.
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dk. Fenella Mukangara akiteta jambo na Katibu Mkuu wa TFF,Angetile Oseah.
Andy Cole akitoa somo kwa Nyanda wa timu ya Sekondari ya Makongo leo.
Nyanda wa Shule ya Makongo akirukia mpira bila mafanikio wakati wa mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya nchini Uingereza,Andy Cole katika viwanja vya shule hiyo mapema leo asubuhi.
Ankal Othman Michuzi wa Globu ya Jamii akishoo lavu na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Manchester United ya nchini Uingereza,Andy Cole.
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya. akiteta jambo na Andy Cole.
Andy Cole akimwaga wino katika fulanazz ya Mdau Richard Ngaiza wa Airtel.
Andy Cole akiendelea kumwaga wino wa wadau na wanafunzi wa shule ya Makongo.
Wakitoka katika viwanja vya Makongo mchana huu.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel.
Andy Cole katika picha ya pamoja na Timu ya Shule ya Makongo.

Tuesday, June 28, 2011

ziara ya nape nnauye mkoani mtwara

 Nape akiongoza wanachama wapya wa CCM kula kiapo, baada ya kuwakabidhi kadi za CCM, wanachama 30 wwalijiunga wakiwemo kutoka chama cha CUF.Kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa mwanachama wa CUF, Rukia Panyota, aliyeamua kurejea CCM wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Tandahimba mkoani Mtwara.
 Mashabiki wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Tandahimba mkoani Mtwara,
 Nape akicharaza ngoma baada ya kuwasili katika Tandahimba mkoani Mtwara
kwa ajili ya mkutano wa hadhara,
 Viongozi wa mashina na wajumbe wa nyumba kumi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wao wa ndani na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, kwenye ukumbi wa Chama Cha Akiba na Mikopo (SACCOS) mjini Newala mkoani Mtwara.
 Nape akisalimia wazee wa Newala alipokwenda kufanya mkutano wa ndani na  viongozi wa mashina na wajumbe wa nyumba kumi wa CCM kwenye ukumbi wa Chama Cha Akiba na Mikopo (SACCOS) mjini Newala mkoani Mtwara
 Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma akizungumza na wananchi wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara walipoupokea msafara wake na Nape, wakiwa njiani kwenda Mjini Liwale.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara walipoupokea msafara wake akiwa njiani kwenda Mjini Liwale
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimjulia hali Somoye Ismaili (70) aliyekuwa akisubiri matibabu kwenye chumba maalum cha kuhudumia wazee, katika hospitali ya Wilaya ya Lindi mjini, juzi. Nape alitembelea hospitali hiyo, mwishoni kwa ziara yake ya siku mbili mkoani Lindi. Wapili kulia ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah juma

Monday, June 27, 2011

TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION imetembelea wazee wanao ishi katika mazingira magumu na kutoa misaada mbali mbali.

Kigogo:- Mzee Abdallah Nguzo akilipiwa fedha za mwezi mmoja, kwa mama lishe
ili apate angalau mlo mmoja kwa siku.. Mzee Nguzo hana familia.

Magomeni: Mzee Simba Maduwilo kwa sasa mlemavu wa miguu, na mkewe hali yake ya  afya sio nzuri. wanaishi kwa kumtegemea binti yao anaejishughulisha na mama lishe.
Tandika Kilalakala
wakina mama waliokusanyika sehemu moja kupata misaaada. wengi wao wana ulemavu wa kutembea, hawana kipato na mmoja ana wajukuu wawili walioachwa na wazazi wao.


Vijana wanao ishi na bibi yao, wanapokea nguo na vitabu.


Bibi Mariam Jenga, ana ulemavu wa macho na kutembea kwa shida. Hali ngumu, anawatoto wawili wakike hawana kazi.

Bw. Mohamed, mzee anaesumbuliwa na ugonjwa wa usongo wa mawazo, mkewe kapooza wanatunzwa na mtoto mmoja wa kike hana kazi maalum. hapo amelala anauguza jaraha alianguka na kuungua upande wa mngogo.

Binti wa Mzee Mohamed akitoa maelezo na kusaini misaada aliyopokea


Mbagala: Bi Saada Mohamed, mwenye watot wawili wakike, mmmoja mlemavu wa viungo na mmoja anamatatizo ya afya alipata kupooza.
Wamepata misaada pamoja na mtaji wa gunia la sabuni yakufunga na kuuza rejareja.



Naima Ally ni mama mdogo wa wasichana wa nne waliofiwa na wazazi wote wawili. wamepewa chakula, nguo na vitabu.

Bi Naima akitaisini vitu alivyo pokea.



Eve Collections during Dar Fashion Festival 2011 at Heineken House, Dar

 Evelyn  with Lucy
Lucy Naivasha introduces the night
The brains behind DFF from left  Christine  Lasway, Lucy Naivasha
and  Miss Kimei. Miss in action is Endesh Paul
 Eve herself presents her collections as part of the hit Dar Fashion Festival  during a fashion show held at the Heineke House in Dar es salaa, being part of BFF's activities going by the name of  WOMENS WORTH