Mwenyekiti wa Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF) Bw. Erick Chrispin
akizungumza wakati wa mkutano wa Jukwaa hilo unaofanyika kila mwisho wa mwezi jana jijini
Dar es Salaam. Mada kuu katika mjadala huo ilikuwa ni “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia
Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake”
Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi ya Open Mind Tanzania (OMT) ambaye pia ni Mratibu wa
Programu ya Kukuza Ajira zenye staha jijini Dar es Salaam(YEID) Bw. Dominic Ndunguru
akiwasilisha maada kuhusu misingi ya ujasiriamali wakati wa mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi
zinawezakutumia Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake”
jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania
(TASEF).
Meneja Matukio na Ushirikiano wa Asasi ya Buni Innovation Hub Bi. Maryam Mgonja
akielezea kuhusu namna asasi yao inavyofanya kazi wakati wa mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi
zinawezakutumia Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake”
jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania
(TASEF).
Afisa Mtendaji Mkuu wa Sema Tanzania Bw. Kiiya Joel Kiiya akifafanua jambo wakati
wa mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na
kuhakikisha inafikia malengo yake” jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na
Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF).
Mmoja wa washiriki wa Mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia Ujasiriamali
wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake” ambayepia ni mwanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Bi. Liliani Kimaro akiwasilisha hoja walizozipata
wakati wa majadiliana kwenye kundi lao jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na
Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF).
Mmoja wa washiriki wa Mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia Ujasiriamali
wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake akichangia mada wakati wa
majadiliano jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii
Tanzania (TASEF).
Baadhi ya washiriki wa Mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia Ujasiriamali
wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake” wakifuatilia mada wakati wa
majadiliano jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii
Tanzania (TASEF).
Mmoja wa washiriki wa Mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia Ujasiriamali
wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake”. Akifafanua namna ujasiriamali
unavyo tegemea zaidi kuanza na wazo badala ya mtaji jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo
uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF).
Picha na: Frank Shija, WHUSM.