Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uendezi Humphrey
Polepole (wapili kushoto) akifurahia nakala ya gazeti la Uhuru baada ya
kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo katika hafla iliyofanyika kwenye
Ofisi za Uhuru Publications Limited UPL), mtaa wa Lumumba jijini Dar es
Salaam, leo. Kushoto ni Said Nguba aliyewahi kuwa Mhariri Mtendaji wa
UPL, na Wengine kutoka watatu kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL
Rhoda Kangero, Mhariri Mtendaji wa zamani wa UPL Jose[h Kulangwa na Kaim
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali
MWANZO
Kaimu
Mhariri Mtendaji wa UPL Rdhoda Kangero akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa
UHURU FM Angel Akilimali (kulia) wakati akimsubiri Polepole kuwasili
ofisi za UPL kuzindua muonekano mpya wa gazeti la Uhuru, leo
Katibu
wa NEC ya CCM Humphrey Polepole akisalimiana na baadhi ya maofisa wa
UPL baada ya kuwasili. Kushoto ni Kaimu MJhariri Mterndaji wa UPL Rhoda
Kangero na kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero akimpeleka Ndugu Polepole ofisini
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akisaini kitabu cha wageni
baada ya kuwasili ofisini kwa Mhariri Mtendaji wa UPL. Kulia ni Kaimu
Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero
Ndugu Polepole akizungumza jambo na Kangero
Baadhi
ya waliowahi kuwa Wahariri Watendaji wa UPL wakiwa katika Ofisini ya
|Mhariri Mtendaji wa UPL. Kutoka kushoto ni Jacquelin Liana, Joseph
Kulangwa na Saidi Nguba. Kushoto ni Kamimu Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel
Akilimali
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza na Viongozin wa
UPL na wageni waalikwa katika Ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akifungua mfuko wenye
gazerti la Uhuru, kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo leo. Kulia ni
kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero na Kushoto ni Mhariri
Mtendaji wa zamani saidi Nguba
Mhariri
Mtendaji wa zamani Joseph Kulangwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM
Angel Akilimali wakifurahia nakala ya Uhuru lenye muonekano mpya baada
ya kuzinduliwa muonekano huo
Polepole
akilifurahia nakala ya Uhuru akiwa akiwa na viongozi kadhaa wa UPL na
waalikwa baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo leo
Polepole akilifurahia nakala ya Uhuru akiwa akiwa na viongozi kadhaa wa
UPL na waalikwa baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo leo
Polepole akilifurahia nakala ya Uhuru akiwa akiwa na viongozi kadhaa wa
UPL na waalikwa baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo leo
Baadhi
ya wafanyakazi wa UPL wakiwa na nakala za gazeti la Uhuru lenye
muonekano mpya. Wapili kushoto ni Mhariri wa habari wa Uhuru FM Pius
Ntiga
Polepole na wafanyakazi wa UPL na waalikwa wakiendelea kulitazama gazeti hilo la Uhuru lenye muonekano mpya.
Polepole akimshukuru Kulangwa kwa kuhudhuria hafla hiyo. Kushoto ni Said Nguba
Polepole na msafara mzima wakienda chumba cha habari kujadili muonekano mpya wa gazeti hilo
Polepole na msafara mzima wakienda chumba cha habari kujadili muonekano mpya wa gazeti hilo
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza jambo na Kaimu
Mhariri Mtendaji Ndugu Kangero wakati msafara ukienda katika chumba cha
habari
Kangero akiongoza msafara kuingia katika chumba cha habari cha UPL
Polepole, Watumishi wa UPL na wageni waalikwa wakiwa wamesimama kufanya dua kabla ya kuanza kulijadili Uhuru
Kila mmoja akiwa makini kulisoma Uhuru wakati wa mjadala
Kila mmoja akiwa makini kulisoma Uhuru wakati wa mjadala
Kila mmoja akiwa makini kulisoma Uhuru wakati wa mjadala
Mkutubi wa UPL Mussa Salmin akilipitia kwa makini gazeti la Uhuru
Kaimu
Naibu Mhariri Mtendaji wa UPL Rashid Zahor akilipia kwa makini gazeti
la Uhuru. Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji Roda Kangero
Wahariri
watendaji wa zamani wa UPL Said Nguba na Joseph Kulangwa wakipita
gazeti hilo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM angel Akilimali
Kaimu Mhariri Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM Angel Akilimali akilisoma kiwa makini gazeti la Uhuru Mhariri wa habari wa Uhuru FM Pius Ntiga akisoma kwa makini gazeti la Uhuru lenye muonekano mpya. Kushoto ni Jacqueline Liana
"Unaona
hiyo?" Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero akimuonyesha moja ya
habari picha Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole
alipokuwa akipitia nakala ya gazeti loa kwanza la Uhuru lililoanza
kuchapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1961
Polepole akilitazama kwa makini nakala hiyo ya kwanza ya gazeti hilo la Uhuru
"Ohhh... very nice" akasema Polepole wakati akitazama nakala ya gazeti hilo la uhuru la mwaka 1961
"Safi sana,," akasema tena Polepole
Polepole akionyesha nakala ya gazeti la kwanza la Uhuru la mwaka 1961. Kulia ni Kangero
Mtangazaji wa Uhuru FM Ndugu Amina akisoma gazeti la Uhuru kwa makini
Mjadala wa gazeti ukiendelea
Mhariri
Mwandamizi wa UPL Jane Mihanji (kushoto) akifuatilia kwa makini mjadala
wa gazeti sehemu ya mengineyo. Kulia ni kaimu Mhariri wa Makala Selina
Wilson
Ndani ya chumba cha habari cha UPL wakati mjadala ukiendelea
Mhariri Mtendaji wa zamani Said Nguba akisoma kwa makini nakala ya Uhuru lenye muonekano mpya
Mfanyakazi wa Idara ya |Matangazo UPL akiuliza jambo kuhusu uboreshwaji wa upande huo kwenye gazeti la UPL
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza kukamilisha mengineyo ya mjadala wa gazeti hilo la uhuru
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza kukamilisha mengineyo ya mjadala wa gazeti hilo la uhuru
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza kukamilisha mengineyo ya mjadala wa gazeti hilo la uhuru
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Polepole akizungumza kukamilisha mengineyo ya mjadala wa gazeti hilo la uhuru
Ndugu Poloepole akiagana na Ndugu Masota wakati akiondoka. Kushoto ni Ndugu Rhoda
Wafanyakazi
wa UPL wakiwa katika picha ya kumbukumbu baada ya uzinduzi huo wa
muonekano mpya wa gazeti la Uhuru. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment