Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson
akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kupokea Msaada wa Vifaa
kwa ajili ya shule ya Walemavu ya Katumba iliyopo Mkoani Mbeya Wilaya
ya Rungwe .
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia
Ackson akipokea Msaada wa kofia kwa ajili ya Watoto wenye ulemavu wa
ngozi wanaosoma katika shule ya Walemavu Katumba kutoka kwa Mkurugenzi
wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery.
Mkurugenzi
wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery akizungumza kabla ya
kukabidhi Msaada wa Vifaa kwa ajili ya shule ya wanafunzi wenye
mahitaji maalum Katumba.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia
Ackson,akipokea Msaada wa Karatasi kwa ajili ya watu wasioona kutoka kwa
mkurugenzi mkuu wa Quintex International Shafiq Dhalla ambaye pia ni
mjumbe wa bodi ya ya Human Relief Foundation .
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia
Ackson, akipokea Baiskeli ya Walemavu kutoka kwa Meneja wa Miradi wa
Human Relief Fondation Mustafa Bunamay wakati tasisi hiyo ilipokuwa
ikikabidhi msaada kwa ajili ya shule ya Maalum Katumba.
Mkurugenzi wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery,
akimkabidhi alama ya tasisi hiyo Mjumbe wa bodo wa Human Relief Tanzania
Mohamed Bahaswan(Big Bon).
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia
Ackson,akipokea alama ya Tasisi ya Human Relief Foundation kutoka kwa
Mkurugenzi wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia
Ackson,akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tasisi ya Human
Relief Tanzania
No comments:
Post a Comment