Mjumbe wa bodi ya Terea Godwin Msigwa akitoa somo juu ya kutambua bidhaa feki za nishati Jadidifu ambazo zinaingizwa nchini kwa njia za panya na kusababisha kupotea kwa fedha na kuleta athari kubwa katika uchumi wetu.
Mjumbe wa bodi ya Terea Godwin Msigwa , Akionyesha moja Solar Panel ambayo imetengenezwa chini ya kiwango na kusababishia hasara wananchi wengi katika soko
Waandishi walioshirikikatika mafunzo hayo,Vicky Kimaro na Asha Bani wakifatilia somo juu ya kutambua bidhaa feki za Nishati Jadidifu.
Muwezeshaji kutoka Tanzania Media Foundation Dustun Kamanzi akizungumza na Waandishi wa habari walioshiriki katika mafunzo ya uandishi Nishati Jadidifu.
Waandishi walioshirikikatika mafunzo hayo wakitazama moja ya bidhaa feki ya Nishati Jadidifu ambayo ilikwisha ingia sokoni.
Waandishi walioshirikikatika mafunzo hayo wakitazama moja ya bidhaa feki ya Nishati Jadidifu ambayo ilikwisha ingia sokoni

No comments:
Post a Comment