Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na viongozi wa Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam wakati alipowasili msikitini hapo kushiriki katika fuatari ambayo mgeni Rasmi alikuwa Waziri mkuu, kassim Majaliwa Julai 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam wakati alipowasili msikitini hapo kushiriki katika fuatari Julai 3, 2016. Kushoto ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaji Mussa Salum na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mohsin Abdalah wakati alipowasili kwenye Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam kushiriki katika futari iliyoandaliwa msikitini hapo Julai 3, 2016. Katikati ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri, Azim Dewji.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri jijini Dar es salaam kushiriki kwenye futari iliyoandaliwa msikitini hapo Julai 3, 2016. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam, Ramadhan Madabida.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi wakishiriki katika swala kabla ya kufuturu kwenye Msikiti wa Khona Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi alipozungumza katika futari iliyoandaliwa katika Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Wanne kushoto ni ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abukakary Zubery bin Ally na watano kushoto ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri, Azim Dewji.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi wakimsikiliza Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally wakati alipozungumza katika futari iliyoandaliwa katika Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Kushoto ni Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam, Alhaji Mussa Salum.
Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri, Azim Dewji akizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimshukuru Mwenyekiti wa MOHAMMED ENTERPRISES GROUP, Gulam Dewji ambaye alitoa mchango wa madawati 500 katika futari iliyoandaliwa kwenye Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Kushoto ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri, Azim Dewji
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016.
Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa kwenye Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri jijini Dar es salaam wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza Julai 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment