Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.) akizungumza mbele ya Mabalazi na Wageni waalikwa wakati wa hafla
fupi ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Wizara kwa ajili ya kumuaga
rasmi Balozi wa Hispania aliyemaliza muda wa kazi nchini, Mhe. Luis
Manuel Cuesta Civis. Katika hotuba yake Mhe. Membe alimshukuru Balozi
Luis kwa mchango wake wa kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na
Hispania. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam tarehe 05 Agosti, 2015. |
No comments:
Post a Comment