Balozi wa Papa Mtakatifu wa kanisa katoliki Nchini Franchesco Padilia akitosi pamoja na Askofu Mstaafu wa kanisa katoliki Jimbo la Dodoma Mathias Isuja walipokua kwenye Tafrija Fupi ya kumpongeza Askofu mteule wa jimbo hilo aliyekuwa akivishwa mkanda wa ngozi ya kondoo ujulikanao kama Pallium. baada ya kumkabidhi kusimamaia majimbo ya Dodoma, Kondoa na Singida
Balozi anayemwakilisha Papa Fransico nchini, Askofu Beatus Kinyaiya na Fadha Chesco Msaga Mwenye Suti wakiingia kwenye ukumbi wa kanisa katoliki jimbo la Dodoma kwa ajili ya kumpongeza Askofu mwenyeji baada ya kuvalisha mkanda wa uliotengenezwa kwa ngozi ya kondoo ujulikanao kama Paliotakatifu [Pallium] ambao ni maalumu kwa maaskofu wakuu pekee.
Mapadri wakiwa ndani ya ukumbi huo
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tafrija hiyo Peter Mavunde ambaye alikuwa mc wa Shuhuri hiyo akiwakabidhi zawadi ya sanamu za yesu akiwa kama mchungaji wa kondoo na nyingine akiwaosha miguu wanafunzi wake.
Askofu Kinyaiya akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa kipapa na nyingine akiwa na kamati ya maandalizi.
Balozi wa Papa mtakatifu Nchini Franchesco Padilia na askofu wa kanda ya ziwa Yuda Thadey Luwaichi wakijadiliana jambo kwenye shuhuli hiyo.
No comments:
Post a Comment