Monday, July 27, 2015

WADAU WA UTAMADUNI WAZUNGUMZIA JINSI UNAVYOCHANGIA UCHUMI HAPA NCHINI

Mgeni rasmi Dk. Salim Ahamed Salim akizungumza katika ufunguzi wa Semina iliyoandaliwa na chuo cha Waislam Morogoro kuhusiana Utamaduni na Mirathi ya utamaduni iliyopo hapa nchini semina hiyo iliyohusisha viongozi mbalimbali na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano katika hoteli ya lamada jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya utamaduni wa chuo cha kiislam Morogoro, Abdalla Bujra.
 Dk. Salim Ahamed Salim akizungumza na Mkurugenzi wa Taasisi ya utamaduni wa chuo cha kiislam Morogoro, Abdalla Bujra mara baada ya kumalizika kwa Semina inayozungumzia masuala ya utamaduni iliyofanyika katika hotel ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
 Mwenyekiti wa kigoda cha Mwalimu Nyerere Profesa Issa Shivji kichangia maada kuhusiana na mambo ya utamaduni na mambo ya kale jinsi yanavyochangia katika uchumi wa hapa nchini, katika semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hotel ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
 Wadau wa mambo ya utamaduni wakimsikiliza  Dk. Salim Ahamed Salim
katika semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanaosoma kozi ya Utamaduni ( Culture) waliohudhuria  katika semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
 
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.  
Mwenyekiti wa kigoda cha Mwalimu Nyerere Profesa Issa Shivji akizungumza na Profesa Abdul Shariff kabla ya kuanza semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.  
Kutoka kulia ni Mkuu wa chuo cha waislam Morogoro,Profesa Hamza Njozi akizungumza na wadau wa utamaduni katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo, katikati ni Dk. Salim Ahamed Salim na Mkurugenzi wa Taasisi ya utamaduni wa chuo cha kiislam Morogoro, Abdalla Bujra.
Mkuu wa chuo cha waislam Morogoro,Profesa Hamza Njozi  akiwa na mtoa maada na mkufunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam wa masuala ya utamaduni (UDSM -ICH)

No comments: