Mwanafunzi wa VETA Asha Hamis akitoa maelezo namna ya kufanya shughuli mbalimbali kwa kutumia mitambo hii,hapa chini
|
Greda na Loader
|
Wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya Kishapu,Wilson Nkhambaku,akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Josephine Matiro na meneja wa SIDO mkoa wa Shinyanga Athanas Moshi wakiwa katika banda la watengenezaji wa bidhaa zinazotokana na mbao mfano,kabati,vitanda,sofa n.k
|
Wajasiriamali kutoka Kambarage mjini Shinyanga wakionesha kabati la kisasa zaidi
|
Hapa ni katika banda la wajasiriamali wanaotengeneza bidhaa za vyuma
|
Hapa ni katika banda la mgodi wa Almas wa Mwadui,mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akipata maelezo juu ya mradi wa ufugaji nyuki na mazao yanayotokana na nyuki
|
Wakuu wa wilaya na wananchi wakila Popcon za wajasiriamali kutoka Shinyanga
|
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akiangalia bidhaa za wajasiriamali kutoka Kenya
|
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Wilson Nkhambaku akiwa ameshikilia mkanda unaotokana na ngozi ya samaki.
|
Mjasiriamali akionesha ngozi ya samaki inayotumika kutengeneza mikanda
|
Mjasiriamali akionesha bidhaa za shuleni na majumbani
|
Wakuu wa wilaya wakiwa katika mabanda yanayouza dawa za asili
|
Hapa ni katika banda la Jeshi la zimamoto na Uokoaji mkoa wa Shinyanga,sajenti Benjamin Kinenge akitoa maelezo namna jeshi hilo linavyofanya kazi kwa kutumia dhana mbalimbali
|
No comments:
Post a Comment