![]() |
| Wafanyakazi wa Shirika la Umeme(TANESCO) mkoa wa Kilimanjaro wakipita na gari lao mbele ya mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu chaUshirika mjini Moshi. |
![]() |
| Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCLwakipita katikamaonesho ya Mei Mosi |
![]() |
| Chuo cha wauguzi Kibosho pia walipita mbele ya mgeni rasmi kuonesha nini wanafanya katika sherehe hizo za Meio Mosi. |
![]() |
| Moja ya mtambo inayotumika kunyunyiza dawa katika Kahawa ikioneshwa mbele ya mgeni rasmi. |
![]() |
| Kampuni ya Swissport pia walikuwepo kuonesha kazi wanayofanya katika viwanja vya ndege. |
![]() |
| Kassim Mwinyi akitoa maelezo kuhusu kampuni ya Panone inavyosaidia katika utoaji wa huduma ya mafuta. |
![]() |
| Mwakilishi wa kampuni ya Bia Tanzania ,Pudensiana akitoa maelezo kuhusu kampuni hiyo. |
![]() |
| Magari ya kampuni ya TBL yakipita mbele ya mgeni rasmi. |
![]() |
| Baaadhi ya wa wafanyakazi wakifuatilia maonesho hayo. |
![]() |
| Halmashauri ya manispaa ya Moshi wakionesha shughuli mbalimbali wanazofanya pamoja na kikombe cha mshindi wa pili wa usafi. |
![]() |
| Bodi ya Kahawa Tanzania TCB pia walikuwepo katika sherehe hizo. |
![]() |
| Watengenezaji wa Highlife Gin pia waipita kutangaza bidhaa zao mele ya mgeni rasmi. |
![]() |
| Kampuni ya SBC watengenezaji wa kinywaji cha Pepsi na jamii yake pia walipita kuonesha vinywaji vinavyo tengenezwa nakampuni hiyo. |
![]() |
| Kampuni ya Sukari ya TPC ilitia fora baada ya kuingiza mitambo yake inayotumika katika kilimo,kunyunyiza dawa pamoja na kupakia miwa wakati wa uvunaji. |
![]() |
| hata hivyo vijana walikosa uvumilivu wakalazimka kukimbilia miwa iliyoachwa uwanjani hapo kwa ajili ya maonesho. |
![]() |
| Wafanyakazi wakiimba
wimbo wa Solidarity katika shrehe hizo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment