Kaimu
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond
Mushi akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF
uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Malimu Nyerere Conference Centre jijini
Dar es salaam kuzingumzia mambo mbalimbali kuhusu huduma hiyo ya bima
ya afya, wadau waliohudhuria katika mkutano huo n kutoka wilaya ya
Temeke, Ilala na Kinondoni mkoani Dar es salaam, Lengo kuu likiwa
kuhamasisha na wananchi kujiunga na mfuko huo na kufikia asilimia 30%
ifikapo mwaka 2015, Pia kuangalia changamoto mbalimbali zinazojitokeza
wakati wa utekelezaji wa malengo hayo na kuzitatua.(PICHA NA KIKOSIKAZI
CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) Kamimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya Bw. Khamis Mdee akizungumza
na kuelezea mikakati ya mfuko huo kwa wadau waliohudhuria katika mkutano
huo leo. Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Taifa Afya ya Jamii NHIF
Balozi Ally Mchumo akimkaribisha mgeni rasmi ili kuzungumza na wadau wa
mfuko huo. Kaimu
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond
Mushi kushoto akiwa katika meza kuu wakati wa mkutano huo kulia ni Jason
Blasius Kaimu Mganga Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Katikati ni
Teresia Mbando Katibu Tawala mkoa wa Dar es salaam. Mkurugenzi
wa Idara ya Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw.
Raphael Mwamoto akiteta jambo na mmoja wa wadau wa mfuko huo. Baahi ya wadau waliohudhuria katika mkutano huo Mbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndungulile akiwa katika mkutano huo. Anjela Mziray (kushoto) Meneja masoko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya akisoma taarifa za mkutano huo ulipokuwa ukiendelea. Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond Mushi na viongozi wa mfuko huo wakipig picha na wadau mbalimbali walioshiriki katika mkutano huo. Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond Mushi akihijiwa na vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya kufungua mkutano huo
No comments:
Post a Comment