Tuesday, May 13, 2014

WAFANYAKAZI UHAMIAJI KILIMANJARO WATAKIWA KUBAKI NJIA KUU

Jengo la Chuo cha uhamiaji mjini Moshi.
Mkuu wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johannes Msumule akizungumza wakati wa semina kwa wafanyakazi wa idara hiyo juu ya maambukizi ya Ukimwi na Virusi vya Ukimwi,semina iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini  Moshi.
Mgeni rasmi katika semina hiyo ambaye ni mwakilishi wa TACAIDS mkoa wa Kilimanjaro Razia Ngaina akizungumza na watumishi wa idara ya uhamiaji(hawako pichani) wakati wa semina juu ya maambuzi ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini Moshi.
Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro Nakajumo James akizungumza jambo mara baada ya kutakiwa kutoa neno kwa niaba ya waandishi walioshiriki semina hiyo.
Wafanyakazi wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro pamoja na famia zao wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mgeni rasmi wakati wa semina juu ya maambuzi ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini Moshi.
Washauri Nasihi kutoka hosptali ya rufaa ya Mawenzi mkoani Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini maelezo ya mgeni rasmi (hayuko pichani)
Na Dixon Busagaga wa Globu 
ya Jamii kanda ya kaskazini.

No comments: