Monday, May 12, 2014

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE - ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo  akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akiziungumza na wanahisa wa Benki ya CRDB wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia), akifuatilia mkutano huo jijini Arusha.
 Baadhi ya Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipita taaarifa ya fedha ya Mwaka 2013.
 Baadhi ya Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipita taaarifa ya fedha ya Mwaka 2013. 
 Wajumbe wa mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB.
 Mtangazaji mkongwe, ambaye ni Mwanahisa katika Benki ya CRDB, Salim Mbonde akipitia taarifa za fedha za Mwaka 2013 za benki hiyo.
 Mmoja wa Wanahisa kutoka Mwanza, Samson Makweli akichangia mada katika mkutano huo
Wanahisa wakifuatilia mkutano huo.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi hiyo,  Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.

Msanii wa sanaa za uchoraji na uchongaji, Chief Omari Mwariko akionesha picha ya kuchora ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
Msanii wa sanaa za uchoraji na uchongaji, Chief Omari Mwariko akionesha aliyochora ya Baba wa Taifa Hayati, Julius Nyerere wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari (kushoto), akipokea picha za kuchora ya Rais wa Kwanza wa Tanzania hayati Julius Nyerere na Rais Jakaya Kikwete kutoka kwa msanii wa uchoraji na uchongaji, Chief Omari Mwariko wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki
 Prosesa Mohamed Warsame akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Lawrence Maferu.
 Kuchangia mada.
 Wanahisa wakiwa katika mkutano.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akizungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB,  Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha. Mafuru alishinda nafasi aliyokuwa akiwania ya Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipewa karatasi za kupigia kura.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipewa karatasi za kupigia kura.
Kura kabla ya kuhesabiwa.
 Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi hiyo,  Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia),  akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB,  Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay.

No comments: