| Hapa ndipo nyumbani alipozaliwa na alipokuwa akiishi aliyekuwa waziri wa fedha na mbunge wa jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa |
| Hii ndio nyumba ya waziri wa fedha Dr Wiliam Mgimwa iliyopo jimboni Kalenga ambako ndipo alipozaliwa ikiwa na bendera ikipepea nusu mlingoti |
| Hii ni nyumba anayoishi mama yake ambayo ipo jirani na yake |
| Wanachama wa CCM wakibadilisha bendera nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa fedha jioni ya leo .usikose kujua habari zaidi kesho juu ya maisha ya waziri Dr Mgimwa. Picha na Francis Godwin |
No comments:
Post a Comment