KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA YA KUAMSHA
LADHA KWENYE WALI ULIOPIKWA KISHA UKALALA ( KIPORO)
MAHITAJI
700 gram za wali uliolala ( Kiporo)
1pc kitunguu maji kikubwa
5 pc nyanya za kuiva
1 kijiko kidogo cha chai dengu
1/4 kijiko kidogo cha chai pili pili manga
1/4 kijiko kidogo cha chai Turmeric powder
1 pili pili moja kavu (siolazima)
2 kijiko kidogo cha chai mafuta ya kupikia
1 kijiko kidogo cha chai siagi
Majani ya Curry kiasi
majani ya giligilani kiasi
KUJIFUNZA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment