Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Chiku Matessa akiwasilisha kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inayohusu masuala ya Ukimwi na dawa za kulevya, mada ya utekelezaji wa mfuko huo sera ya ukwimwi mahali pa kazi, Uongozi wa NSSF ulipokutana na kamati hiyo kwenye Ofisi za Bunge mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi na dawa za kulevya Lediana Mg'ong'o na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk. Faustine Ndungulile, wakizungumza na uongozi wa NSSF wakati uongozi huo ulipowasilisha mpango wake wa utekelezaji, sera ya ukimwi mahala pa kazi.
Meneja wa utoaji mafao ya matibabu wa NSSF, Dk. Ali Mtulia, akifafanua jambo, mblele ya Kamati hiyo ya Bunge ya Ukimwi na dawa za kulevya
Mjumbe wa Kamati hiyo Maria Hewa, akitaka ufafanuzi kuhusu NSSF inavyotekeleza Sera hiyo ya Ukiwmi mahala pa kazi ndani ya Taasisi hiyo.
Mmoja wa wajumbe wa Kamati hiyo ya Bunge akitaka ufafanuzi
"MPANGOKAZI HUU NI MZURI", anasema Dk. Ndungulie na kuongeza kuwa kinachohitajika sasa ni maboresho tu.
Dk. Ndungulile akisisitiza jambo
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge kuhusu Ukimwi na dawa za kulevya wakiwa kwenye mkutano huo na uongozi wa NSSF
No comments:
Post a Comment