Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akifuatilia kwa makini Hotuba ya Wizara ilipokuwa ikiwasilishwa Bungeni na Mhe. Membe (hayupo pichani) |
Wakurugenzi wengine kutoka Wizarani na Taasisi wakiwa Bungeni Mjini Dodoma |
Baadhi ya Wanafunzi wanaosomea Shahada ya Uhusiano wa Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Dodoma wakifuatilia Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa iliyowasilishwa na Mhe. Membe. |
Mhe. Juma Nkamia (Mb.), Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwasilisha Hotuba kwa niaba ya Kamati hiyo huku Mhe. Membe na Mhe. Maalim wakifuatilia. |
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (Mb.) akiahirisha Kikao cha Bunge leo tarehe 30 Mei, 2013. |
Mhe. Membe akiwaeleza Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini sababu zilizopelekea Kikao cha Bunge kuahirishwa. |
Mhe. Membe akiteta jambo na Balozi Sebregondi. |
Mhe. Membe akisalimiana na baadhi ya Wananchi kutoka Lindi. |
Mhe. Maalim akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi kutoka Jimbo la Muyuni, Zanzibar waliofika Bungeni kufuatilia Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushiririkiano wa Kimataifa |
Picha zaidi za Mhe. Maalim na wananchi kutoka Jimbo la Muyuni, Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment