Rais Jakay Kikwete akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Mh Henri De Raincourt wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii Tanzania Bi Agnes Mziray mara wakati wa sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la chuo hicho lililopo mtaa wa Garden Avenue na Shaaban Robert mkabara na Chuo cha IFM na Makumbusho ya Taifa na nyumba ya Utamaduni
Rais Kikwete na Mh Raincourt wakitembezwa sehemu mbalimbali za chuo
Champaine inafunguliwa
Kukata utepe
Kuzindua plakadi
Kubinjua pazia
1 comment:
mkuu chonde chonde wengine huwa tuna midadi ya kuona vikangua anga vipya vya bongo, kule golden jubilee lililofunguliwa juzi nimefuatilia weee angalau nilione jengo lenyewe linaonekanaje kwa nje lakini wapi, mkuu unatuonyehsa picha za ndani tuuu na hatukioni kitu chenyewe, leop kuona tena jengo hili linafunguliwa nikawa na mdadi weee nataka nilione likoje, duu nimeishia patupu, mkuu tunaomba basi tutaone vizuri majengo haya mawil yaliyofunguliwa juzi juzi na mh rais, golden jubilee na hiki chuo, natanguliza shukran, mdau wa vikangua anga bongo
Post a Comment