Friday, December 2, 2011

JK AKUTANA NA VIONGOZI WA CUF IKULU LEO

 Rais Kikwete akibadilishana mawazo na baadhi ya ujumbe wa CUF

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bw Julius Mtatiro wakibadilishana taarifa ya pamoja kati ya Serikali na CUF baada ya kuzitia saini kwa niaba ya pande zao
 Naibu katibu Mkuu wa CUF Bw Julius Mtatiro akiweka saini taarifa ya pamoja baada ya kikao cha wajumbe wa serikali na wa Chama hicho
 Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akiweka saini taarifa hiyo ya pamoja kati ya serikali na CUF
  Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw Salva Rweyemamu wakiandaa taarifa hiyo ya pamoja
 Rais Kikwete na ujumbe wa CUF wakipitia kwa makini taarifa ya pamoja kabla ya kuchapishwa na kusambwazwa kwa vyombo vya habari
 Mapitio ya Taarifa ya pamoja

 Ujumbe wa CUF ukipitia kwa makini taarifa hiyo ya pamoja
 Wajumbe wa upande wa serikali (kulia) na wa CUF ukiandaa taarifa ya pamoja inayochapwa na Bw Salva Rweyemamu
 Rais Kikwete na baadhi ya wajumbe wa CUF wakitoka nje baada ya kikao

 Rais Kikwete akiongea jambo na mjumbe wa CUF Bw. Abdulkam



 Rais Kikwete akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano 
 Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw. Salva Rweyemamu (wima) akiwa na ujumbe wa CUF mara baada ya kwuasili Ikulu
Ujumbe wa CUF ukiwasili Ikulu leo
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CUF,Mh. Machano Khamis Ally ambaye ni Kiongozi wa Ujumbe na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofika Ikulu jijini Dar es salaam leo Kuonana na kuzungumza na Rais Kikwete juu ya Sheria ya kuanza kwa mchakato wa kutafuta Katiba Mpya. Picha na ikulu
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Julius Ntatilo.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Mh. Mnyaa Mohamed Habib
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mh. Ismail Jusa

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa kwenye Mazungumzo na Ujumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofika Ikulu jijini Dar es salaam leo kuzungumzia Sheria ya kuanza kwa mchakato wa kutafuta Katiba Mpya.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiukaribisha Ujumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofika Ikulu jijini Dar es salaam leo kuzungumzia Sheria ya kuanza kwa mchakato wa kutafuta Katiba Mpya.











No comments: