Wednesday, October 26, 2011

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII KUANZIA TAREHE 24 OKTOBA HADI 06 NOVEMBA 2011

UKUMBI: WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII

TAREHE/SIKU
SHUGHULI
WAHUSIKA
JUMAPILI
23/10/2011
·         Kuwasili Dar es Salaam
·         Katibu wa Bunge
JUMATATU
24/10/2011
·         Shughuli za Utawala
·         Wajumbe.
·         Sekretarieti
JUMANNE
25/10/2011
·         Kutembelea Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)
·         Wajumbe.
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
JUMATANO
26/10/2011

·         Kutembelea Baraza la Mitihani Tanzania
·         Wajumbe.
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi
ALHAMISI
27/10/2011
·         Kutembelea shule 2 za Sekondari za kata (1) iliyofanya vizuri sana  shule ya Sekondari Chamazi iliyopo katika Halmashauri ya Temeke na (1)iliyofanya vibaya katika Matokeo ya Mtihani  wa Kidato cha IV-2010  shule ya Sekondari Kibugumo iliyopo katika Halmashauri ya Temeke.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

IJUMAA
28/10/2011
·         Kutembelea Taasisi ya Saratani  Ocean Road –DSM
·         Kupata Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM)
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
JUMAMOSI
29/10/2011 NA
JUMAPILI
30/10/2011

 MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI

·                  WOTE

JUMATATU
31/10/2011
    
·          Kupata Taarifa kuhusu Madai ya madeni ya Walimu Nchini

·         Wajumbe.
·         Uongozi wa CWT
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
·         TAMISEMI

JUMANNE
1/11/2011
·         Kupata taarifa kuhusu hali ya upatikanaji wa Mikopo ya Elimu ya Juu 2011/2012
·         Wajumbe
·         Wizara ya Elimu
·         DARUSO
JUMATANO
02/11/2011
 
·         Kutembelea Taasisi ya Mifupa MOI
Kutembelea kitengo cha Tiba ya Figo (Muhimbili)
·         Wajumbe
·          Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
ALHAMISI
3/11/2011
·         Kupata taarifa kuhusu uendeshaji wa chuo cha ustawi wa jamii

·         Wajumbe
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
IJUMAA
04/11/2011
MAJUMUISHO
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
JUMAMOSI
05/11/2011
JUMAPILI
06/11/2011
 
·         kuelekea Dodoma
·         Wajumbe.
·     Katibu wa Bunge


TANBIHI:
  • Vikao vitaanza                 saa    3:00   asubuhi
  • Chai                                    saa    4:30  asubuhi 

No comments: