Wednesday, October 26, 2011

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI KUANZIA TAREHE 23 OKTOBA HADI 6 NOVEMBA, 2011

UKUMBI WA MIKUTANO OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
SIKU
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumapili
23/10/2011
  • Kuwasili Dar es salaam
  • Katibu wa Bunge
Jumatatu
24/10/2011
  • Kukagua barabara ya Bagamoyo - Msata na kuelekea Tanga
  • Wajumbe/Wizara ya Ujenzi
Jumanne
25/10/2011
  • Kukagua Bandari ya Mwambani-Tanga, Barabara ya Tanga Horohoro na Kupokea taarifa ya Maendeleo ya Bandari nchini
  • Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ujenzi
Jumatano
26/10/2011
  • Kukagua barabara ya Korogwe- Mkumbara Same na Hanga la KIA
  • Wajumbe/Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Uchukuzi
Alhamisi
27/10/2011
  • Simbo za Posta na Kukagua Chuo cha Nelson Mandela  
  • Wajumbe/Wizara ya MST
Ijumaa
28/10/2011
  • Kukagua barabara ya Arusha- Namanga na Arusha- Minjingu
  • Wajumbe/ Wizara ya Ujenzi
Jumamosi
29/10/2011
  • Kuelekea Dsm  na Kupokea Taarifa ya Barabara za mkoa wa Kilimanjaro
  • Wajumbe/ Wizara ya Ujenzi
Jumapili
30/10/2011
  • MAPUMZIKO
  • Wajumbe/Ofisi ya Bunge
Jumatatu
31/11/2011
  • Kutembelea Makampuni  ya Simu ya TIGO  na TTCL
  • Wajumbe/ Wizara ya MST
Jumanne
1/11/2011
  • Kupokea taarifa ya Ujenzi wa barabara nchini na barabara zakupunguza msongamano wa magari Dar es salaam
  • Wajumbe/ Wizara ya Ujenzi
Jumatano
2/11/2011
  • Kupokea taarifa ya  Mkakati wa kuboresha ATCL na TRL.
  • Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi
Alhamisi
3/11/2011
  • Kupokea taarifa ya Utendaji ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL)

  • Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi
Ijumaa
4/11/2011
  • Majumuisho
  • Wajumbe
Jumamosi
5/11/2011
  • Kuelekea Dodoma kwa ajili ya Mkutano wa Bunge
  • Wajumbe/Ofisi ya Bunge

TANBIHI:
i)                Ikitokea kuna kazi iliyoletwa na Mheshimiwa Spika ratiba itabadilika
ii)               Vikao vitaanza  Saa 3.00 Asubuhi

No comments: