Tuesday, March 22, 2011

Picha za ajali ya wanamuziki wa Five Stars na waombelezaji wakiwa Equator Grill jijini Dar

Jeneza lenye mwili wa marehemu Issa Kijoti likiwasili makaburini Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar tayari kwa mazishi mara tu baada ya kuwasili usiku huu toka Morogoro walikopatia ajali
Miili ya marehemu ikiwasili jijini Dar kutoka Morogoro
Waombolezaji wakishusha miili ya marehemu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi alikuwepo kuongoza upokeaji wa miili ya marehemu. Hapa akitoa salamu za rambirambi za serikali
Msafara wa kuletwa miili ya marehemu ulisimamiwa
na askari wa usalama barabarani. Picha zote za usiku na John Bukuku
Mkongwe wa muziki wa Taarabu Bi Mwanahawa Ally
akiwa hospitali ya Mkoa Morogoro baada ya kunusurika kwenye ajali hiyo ambapo yeye aliongozana na Five Stars kama msanii mwalikwa

Walionusurika katika ajali hiyo wakiwa ukumbi
wa Equator Grill jijini Dar leo
Lori lililosababisha vifo vya wanamuziki wa kundi la
Five Stars Modern Taarab likiwa eneo la tukio
Mabaki ya basi walimokuwemu wanamuziki wa Five Stars
Mabaki ya vyombo vya muziki na basi la Five Stars
Viongozi wa makundi mbalimbali ya muziki msibani
Kiongozi wa Wanaume TMK Saidi Fela akiwa na wapigapicha wa EATV
Mwana Libeneke mkuu wa Iringa Francis Godwin kazini
Khadija Omari Kopa akimsindikiza mmoja ya walionusurika
Majeruhi wakipelekwa nyumbani kupumzika
Majonzi
Waratibu wa shughuli wakiwa kazini
Bwana matangazo akiwajibika
Viongozi wa vikundi mbalimbali vya sanaa wakiwa msibani
Muandaaji wa kpindi cha Taarabu katika Stars TV akihoji waombolezaji
Waratibu wa shughuli wakiwasiliana na wenzao wa Morogoro

Wapenzi wa Five Stars Modern Taarab wakiangalia picha za wanamuziki kwenye bango
Msiba mzito
Abdul Misambano wa TOT na wenzake
Waombolezaji wakisubiri miili ya marahemu
Ankal akirekodi msiba huu mzito
Babu Ayubu na waombelezaji wenzake
Equator Grill hapatoshi leo
Waombolezaji msibani
Watu wa jinsia zote na kila rika walikuwepo
Majonzi

2 comments:

ally nzomkunda said...

watanzania tuwaombee ndugu zetu watanzania wenzetu mungu azilaze roho zao mahala pea.amini

ally nzomkunda said...

watanzania tuwaombee ndugu zetu walio poteza maisha katika hajali iliyotokea hivi karibuni mungu aziweke roho za marehemu mahala pema peponi amina