
Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna akiwa na zawadi ya jezi aliyopewa na mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rageh wakati wa Simba Day uwanja wa Uhuru leo

Uzinduzi wa uzi mpya wa Simba kwa msimu mpya ujao

Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna akimpatia tuzo meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager George Kavishe kwa kampuni yake ya TBL inayodhamini Simba na Yanga

Wachezaji wa Simba na Express ya Uganda wakiingia
uwanjani kumenyana. Matokeo yalikuwa 0-0

Wanenguaji wa Twanga wakipepeta

Twanga Pepeta wakiwajibika siku ya Simba Day

Kiduku na Twanga pepeta...

Twanga wakijimwayamwaya uwanjani

Mshambuliaji wa Sayari (shoto) akijaribu kumpita mchezaji wa Simba Queens

Timu ya wanawake ya Sayari

Simba Queens

Simba Queens wakipiga jalamba

Juu na chini ni mchezo kati ya Simba SC na Express ya Uganda. Matokeo ni bao 0-0
No comments:
Post a Comment