Wednesday, February 27, 2013

  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akipokea zawadi za kimila za kabila la Wafipa, wakati alipokutana na akina mama wa manispaa ya Sumbawanga kwenye ukumbi wa Manispaa hiyo
  Akiwa amevalia vazi la asili la akina mama wa kabila la Wafipa, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete anashiriki kucheza ngoma ya kabila hilo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga
  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akipokea zawadi za kimila za kabila la Wafipa, wakati alipokutana na akina mama wa manispaa ya Sumbawanga kwenye ukumbi wa Manispaa hiyo
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi shina la wakereketwa la kikundi cha akinamama cha Upendo kilichoko katika makao makuu ya wilaya ya Kalambo katika mji wa Matai tarehe 26.2.2013. Akinamama hao wapatao kumi hujishughulisha na kazi ya kukamua mafuta ya alizeti. 

 Mjumbe wa NEC ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akizindua rasmi shina la wakereketwa la kikundi cha Mafundi seremala kiitwacho Kazimoto kilichoko kaika mji wa Matai wilayani Kalambo
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akipokewa kwa shangwe na wananchi wa mji wa Matai waliofurika katika eneo la soko jipya mjini hapo ili kushiriki katika sherehe ya kukabidhi pikipiki kumi kwa ajili ya watendaji wa vituo vya afya katika mikoa ya Rukwa na Katavi

 Mke wa rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa baadhi ya vikundi vilivyoshiriki katika shughuli ya kukabidhi pikipiki kwenye vituo vya afya vya mikoa ya Rukwa na Katavi zilizofanyika huko Matai wilayani Kalambo Mkoani Rukwa 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa mji wa Matai waliohudhuria sherehe ya kukabidhi pikipiki kwa ajili ya vituo vya afya katika mikoa ya Rukwa na Katavi iliyofanyika katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa












Tuesday, February 26, 2013

ukraine



 .(L-R) Hon. Vil Bakirov - Rector of Kharkov National University named after V. N. Karazin, Hon. Irina Gagarina - Director of Ukranian State Centre of International Education of Ukraine, Angolan Ambassador in Russia, Hon. Jaka Mwambi - Ambassador of the Republic of Tanzania in Russia enjoy a light moment together at the historic launch of the UKRANIAN - AFRICAN EDUCATION CENTRE

 .Vil Bakirov (katikati)- Rector of Kharkov National University named after V. N. Karazin, akiongea na waandishi wa habari.

  Balozi wa Kenya nchini Urusi akiwa katika picha na wanafunzi wawakilishi  wa Kenya na Tanzania
 Wanafunzi wa fani mbalimbali wakiwa wamezibeba bendera za nchi zao
 .Vil Bakirov (katikati)- Rector of Kharkov National University named after V. N. Karazin, akiongea na waandishi wa habari.










UJUMBE WA OMAN WAANDALIWA CHAKULA CHA USIKU ZANZIBAR

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,na Mawaziri wengine walipoungana katika hafla ya chakula  maalum kwa ujumbe wa wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf bin Alawi bin Abdullah,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar 
 Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman,Yussuf bin Alawi bin Abdullah,akichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa  kwa ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
 Baadhi ya Viongozi wa Ujumbe wa Nchini Oman na Viongozi wa Taasisi mbali mbali hapa Zanzibar wakiwa katika  hafla ya chakula  maalum kwa ujumbe wa wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf bin Alawi bin Abdullah,(hayupo pichani) katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,(kushoto) akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman  Yussuf bin Alawi bin Abdullah,akiongoza ujumbe wake katika hafla ya chakula maalum,kilichoandaliwa kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
 Viongozi wa Ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,wakichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa  kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
 Viongozi  wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,waliojumuika na ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,wakichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa  kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
Viongozi  wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,na taasisi za binafsi walipojumuika na ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,wakichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa  kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar. 
Picha zote na Ramadhani Othman wa Ikulu, Zanzibar

BODI YA UTALII YASAINI MKATABA NA WAANDAAJI WA ONESHO LA UTALII LA INDABA AFRIKA KUSINI, KUANZISHA ONESHO LA SWAHILI TOURISM FAIR NCHINI

20
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga katikati wa tatu kutoka kulia, Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki kushoto na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch & Wizard Creative (PYT) Ltd wakisaini mkataba wa makubaliano ya kuanzisha onesha la Utalii litakalojulikana kwa jina la Swahili Tourism Fair kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, ambalo kwa mara ya kwanza litafanyika nchini Tanzania kwenye ukumbi huohuo wa Mlimani City Dar es salaam kuanzia Oktoba 2-5 mwaka huu, Wanaoshuhudia tendo hilo la kusainiwa kwa mkataba huo nyuma ni Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania na kulia ni Ian Kaduma Mwanasheria wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Kampuni ya Witch & Wizard Creative (PYT) Ltd Pia ndiyo inayoandaa maonyesho makubwa ya utalii nchini Afrika Kusini yanayojulikana kama Indaba 21Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd akisaini mkataba huo huku Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akishuhudia tukio hilo kushoto ni Ian Kaduma Mwanasheria wa TTB
22
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakibadilishana mikataba mara baada ya kusainiwa katikati wanaoshuhudia ni Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki 23Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakionyesha mikataba mara baada ya kusainiwa katikati wanaoshuhudia ni Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki
1Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB DK Aloyce Nzuki akijadili jambo na wakuu wake wa vitengo katikati ni Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii na kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Bi. Devotha Mdachi
2Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga akizungumza na Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki kabla ya kusainiwa kwa mkataba huo leo katikati ni Meneja Huduma za Utalii Philip Chitaunga na Mkurugenzi wa Masoko Devotha Mdachi
3Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City tayari kwa kusaini makubaliano hayo wanaosalimiana na Ian Kaduma Mwanasheria wa TTB na Philip Chitaunga Meneja Huduma za Utalii TTB
4Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga akisalimiana na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd mara baada ya kuwasili ukumbini hapo leo kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki na maafisa wa TTB
6
Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki akiwatambulisha wakurugenzi wa ya kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga kulia ni Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na kushoto ni Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd 7Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii Bi Devotha Mdachi katikati akiwa katika picha ya pamoja na maafisa mbalimbali wa Bodi hiyo
8Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akiongozwa na Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii Bodi ya Utalii TTB mara baada ya kuwasili ukumbini hapo leo
9Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko TTB Bi Devotha Mdachi kulia ni Geofrey Meena Meneja wa Masoko wa Bodi hiyo.
10Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akisalimiana na Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Geofrey Meena mara baada ya kuwasili ukumbini hapo leo.
11Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akisalimiana na Mwanasheria wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Ian Kaduma
12Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga katikati ni Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki
13Mkurugenzi wa Masoko TTB Bi Devotha Mdachi akizungumza katika hafla hiyo
14Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki ,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakisubiri kusainiwa kwa mkataba huo
15Maafisa mbalimbali wa Bodi ya Utalii, na Ubalozi wa Afrika Kusini wakishuhudia utiaji saini wa mkataba huo
17Maafisa kutoka Bodi ya Utalii na Wizara ya Fedha wakishuhudia tukio hilo.
18Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga akizungumza katika hafla hiyo
19Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania naye akatoa maneno yake ya hekima kwa kusainiwa mkataba huo.
24Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki ,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakiwa katika picha ya pamoja
25Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki akizungumza katika hafla hiyo ya utiaji saini mkataba wa kuanzishwa kwa onesho la Swahili Tourism Fair
26Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki ,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa bodi ya utalii