James Payne a.k.a Mzungu wa BSS, ambaye ni mshindi wa pili wa Bongo Star Search amekuwa kivutio kikubwa hapa Moshi ambapo kila aendako anazongwa na mashabiki. Alipopanda jukwaani kutumbuiza kila mtu alifurahi.Sunday, February 27, 2011
Kili Marathon & Vodacom's 5km FUN RUN 2011 bomba!
James Payne a.k.a Mzungu wa BSS, ambaye ni mshindi wa pili wa Bongo Star Search amekuwa kivutio kikubwa hapa Moshi ambapo kila aendako anazongwa na mashabiki. Alipopanda jukwaani kutumbuiza kila mtu alifurahi.Saturday, February 26, 2011
BONGO FLEVA WAITUNGUA BONGO MOVIE BAO 2-0
Mshambuliaji wa timu ya Bongo Freva,Ali Kiba akijaribu kutaka kumtoka beki wa timu ya Bongo Movie katika mtanange wa Kuchangia maafa ya Gongo La Mboto uliomalizika jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar.Bongo Freva iliibuka kidedea kwa mabao 2-0 yaliyotiwa kimyani na mshambuliaji H. Baba katika kipindi cha kwanza cha mchezo.
Kiungo wa Bongo Movie,Ben Kinyaiya akipiga penati na kukosa kwa kupiga nje.
Mshambuliaji wa kushoto wa timu ya Bongo Freva,KR Mullah akimtoka mchezaji wa timu ya Bongo Movie katika mchezo uliopigwa jioni hii katika uwanja wa Taifa.
Mshambuliaji wa timu ya Bongo Freva,H. Baba akiipachia timu yake bao la kuongoza dhidi ya Bongo Movie katika mtanange wa kuchangia maafa ya Gongo la Mboto uliopigwa jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
Hatari langoni mwa Bongo Movie.
Nyanda wa timu ya Bongo Freva,Tunda Man akionyesha utaalamu wake mbele ya mchezaji wa timu ya Bongo Movie,Joti katika mtanange uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
Bongo Freva wakishangilia ushindi waoo.

Vingwanga vilitawala kabla ya mchezo kuanza kwa upande wa wana Bongo Movie.
Mgeni Rasmi katika mchezo huo,Meya wa Ilala,Mh. Jerry Slaa akikagua timu kabla ya mchezo.
Timu ya Bongo Movie.
Timu ya Bongo Freva.
Uwanja ulifurika sana kwa kweli,hii inaonyesha ni kiasi gani watu walivyohamasika katika swala zima la kuchangia wahanga wa mabomu kule Gongo la Mboto.TMH YAFANIKISHA STYLE MOTO MOTO YA MITINDO USIKU HUU
Mbunimu wa Mitindo,Khadija Mwanamboka (kulia) akimkabidhi zawadi ya ua Mwanamitindo,Jamila Swai ambaye ni mmoja kati ya waliofanikisha shughuli hiyo usiku huu katika hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
MC Taji Liundi akiwajibika.















Mwanamitindo Jamila Swai akipita jukwaani.
wadau.
Ankal akiwa amejiachia na wadau waliohudhuria hafla hiyo pamoja na wanamitindo.
Wadau wa Vodacom pia walikuwepo.


Biashara ikiendelea mara baada ya show kumalizika.

Wageni waalikwa toka sehemu mbali mbali walijitokeza kuona Style Motomoto Fashion Show usiku huu ndani ya hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jiji Dar.
Subscribe to:
Posts (Atom)























