Tuesday, March 27, 2012

RATIBA YA ZIARA YA KAMATI YA SHERIA NDOGO KATIKA MKOA WA LINDI NA MTWARA KUANZIA TAREHE 26 MACHI - 6 APRILI, 2012 UKUMBI: 054



SIKU/TAREHE
MUDA
SHUGHULI/MAHALI
MHUSIKA
Jumatatu
26 Machi, 2012
3:00 – 6:00
Shughuli za Utawala (Ofisi Ndogo ya Bunge, Dar es Salaam)
·         Wajumbe
·         Sekretarieti ya Bunge

Jumanne
27 Machi, 2012

1:30
Kuondoka Dar es Salaam (Julius Nyerere International Airport)
·         Wajumbe
·         Sekretarieti ya Bunge
3:00
Kuwasili Mtwara (Uwanja wa Ndege wa Mtwara)
·         Wajumbe
·         RAS Mtwara

5:00 – 6:00

Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
·         Wajumbe
·         RC
·         RAS Mtwara

Jumatano
28 Machi, 2012

3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
1.      Manispaa ya Mtwara
2.      Wilaya ya Mtwara (Vijijini)
·         Wajumbe
·         Halmashauri
·         RAS Mtwara
·         CPD
·         TAMISEMI
6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote

Alhamis
29 Machi, 2012




3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
3.      Wilaya ya Masasi
4.      Wilaya ya Newala
5.      Wilaya ya Tandahimba
·         Wajumbe
·         Halmashauri
·         RAS Mtwara
·         CPD
·         TAMISEMI
6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote

Ijumaa
30 Machi, 2012


3:00 – 6:00

Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Mtwara
·         Wajumbe
·         Halmashauri
·         RAS Mtwara
·         CPD
·         TAMISEMI

Jumamosi
31 Machi, 2012

4:00

Kuondoka Mkoa wa Mtwara kuelekea Mkoa wa Lindi
·         Wajumbe
·         RPC Mtwara
·         RAS Mtwara

6:00

Kuwasili Mkoa wa Lindi

·         Wajumbe
·         RPC Lindi
·         RAS Lindi
Jumapili
01 Aprili, 2012
NA
MAPUMZIKO
·         Wajumbe

Jumatatu
02 Aprili, 2012

2:00 – 3:00

Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi
·         Wajumbe
·         RC Lindi
·         RAS Lindi

3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
1.      Wilaya ya Lindi Mjini
2.      Wilaya ya Lindi Vijijini
3.      Wilaya ya Kilwa
·         Wajumbe
·         Halmashauri
·         RAS Lindi
·         CPD
·         TAMISEMI
6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote

Jumanne
03 Aprili, 2012

3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
4.      Wilaya ya Ruangwa
5.      Wilaya ya Nachingwea
6.      Wilaya ya Liwale
·         Wajumbe
·         Halmashauri
·         RAS Lindi
·         CPD
·         TAMISEMI
6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote

Jumatano
04 Aprili, 2012

3:00 – 6:00

Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Lindi
·         Wajumbe
·         Halmashauri
·         RAS Lindi
·         CPD
·         TAMISEMI

7:00
Kamati kuondoka Mkoa wa Lindi kuelekea Mkoa wa Mtwara
·         Wajumbe
·         RPC Lindi
·         RAS Lindi

9:00

Kuwasili Mkoa wa Mtwara
·         Wajumbe
·         RPC Mtwara
·         RAS Mtwara

 Alhamis
05 Aprili, 2012

4:00
Kuondoka Mkoa wa Mtwara kuelekea Dar es Salaam (Mtwara Airport to Julius Nyerere International Airport)
·         Wajumbe
·         RAS Mtwara
·         Sekretarieti ya Bunge
Ijumaa
06 Aprili, 2012
NA
IJUMAA KUU
·         Wajumbe
Jumamosi
07 Aprili, 2012
NA
Kuelekea Dodoma kuhudhuria Mkutano wa Saba wa Bunge la Kumi
·         Wajumbe


No comments:

Post a Comment