Tuesday, March 27, 2012

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII KUANZIA TAREHE 25 MACHI HADI 06 APRILI 2012 Ukumbi Na.117, OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM


TAREHE

SHUGHULI ZITAKAZOFANYIKA

WAHUSIKA
25/03/2012
Jumapili
  • Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
  • Wajumbe
  • Katibu wa Bunge
26/03/2012
Jumatatu
  • Utawala pamoja na kupitia rasimu ya Ratiba
  • Wajumbe kupewa nakala za Muswada “The Social Security Law (Amendment) Act, 2012’’
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
27/03/2012
Jumanne
·         Waziri kuwasilisha maudhui ya  Muswada wa “The Social Security Law (Amendment) Act, 2012’’
·         Kupata maoni ya Wadau
·         Wajumbe
·         Wizara ya Kazi na Ajira
·         Wadau
28/03/2012
Jumatano
  • Wajumbe kupitia na kuchambua Muswada wa “The Social Security Law (Amendment) Act, 2012’’
  • Wajumbe
  • Wizara ya Kazi na Ajira
29/03/2012
Alhamisi
  • Wajumbe kupitia na kuchambua Muswada wa “The Social Security Law (Amendment) Act, 2012’’
  • Majumuisho ya maoni ya Muswada
  • Wajumbe
  • Wizara ya Kazi na Ajira
30/03/2012
Ijumaa

  • Wajumbe kupitia  Taarifa  ya Mwaka ya Kamati  Aprili  2011 hadi Aprili, 2012

  • Wajumbe

Jumamosi & Jumapili
  • Mapumziko ya Mwisho wa wiki
  • Wajumbe
02/04/2012
Jumatatu
·         Kutembelea Ofisi za Social Security Regulatory Authorty (SSRA), kupata taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Kamati kwa kipindi cha 2011/2012
  • Wajumbe
  • Wizara ya Kazi na Ajira
  • Social Security Regulatory Authorty (SSRA)
03/04/2012
Jumanne
  • Kukutana na Waziri wa Viwanda na Biashara,  Waziri wa Fedha na Uchumi, uongozi wa COSOTA, na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
  • Wajumbe
  • Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
  • Wizara ya Fedha na Uchumi
  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • Uongozi wa COSOTA
04/04/2012
Jumatano
  • Kutembelea kiwanda cha  Kioo Limited Changombe kuangalia kama sheria na taratibu za kazi zinafuatwa

  • Kukutana na Tanzania Media Fund


  • Wajumbe
  • Wizara ya Kazi na Ajira
  • Kioo Limited

  • Wajumbe
  • Tanzania Media Fund


05/04/2012
Alhamisi
  • Kutembelea (Tanzania Media Women Association ) kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu wanawake na maendeleo


  • Kukutana na Tanzania Media Fund


  • Wajumbe
  • Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

  • Wajumbe
  • Tanzania Media Fund

06/04/2012
Ijumaa

  • IJUMAA KUU

07-08/04/2012
Jumamosi na Jumapili
  • Wajumbe kuelekea Dodoma
  • Wajumbe




Tanbihi

Vikao vyote vitaanza saa 3.00 asubuhi

No comments:

Post a Comment