Tuesday, March 27, 2012

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) RATIBA YA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA MAFUNGU MBALIMBALI KUANZIA TAREHE 25/03/2012 HADI TAREHE 07/04/2012 UKUMBI NAMBA 113 OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM UKUMBI NA. 113

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA

Jumapili
25 Machi 2012

Wajumbe kuwasili Dar es Salaam

Katibu wa Bunge


Jumatatu
26 Machi 2012

Shughuli za kiutawala

Wajumbe wa PAC na Sekretarieti


Jumanne
27 Machi 2012

Fungu 51- Wizara ya Mambo ya Ndani

Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumatano
28 Machi 2012

Fungu 96 - Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo


Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti


Alhamisi
29 Machi 2012

Fungu 98 - Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu


PMG/CAG/DGAM
AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti


Ijumaa
30 Machi 2012

 Fungu 44 - Wizara ya Viwanda na Biashara
(Kujadili Taarifa ya Wizara kuhusu ukaguzi wa  ubora wa magari unaofanywa nje ya nchi na ukaguzi wa bidhaa zingine)


Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumamosi na Jumapili
31 Machi – 01 Aprili 2012

MAPUMZIKO




Wote


Jumatatu
02 Aprili 2012

Mamlaka ya Mapato (TRA)



Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumanne
03 Aprili 2012

Fungu 52 - Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

Fungu 32 - Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma


Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumatano
04 Aprili 2012

Fungu 23 - Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali

Fungu 22 - Deni la Taifa


Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Alhamisi
05 Aprili 2012

Hesabu za Majumuisho
(Hesabu Jumuifu za Taifa)

PMG/AcGen/
CAG/DGAM/ Wajumbe wa PAC/Sekretarieti


Ijumaa
06 Aprili 2012

Kujadili majibu ya Hazina kuhusu mapendekezo ya Kamati kwa Hesabu zinazoishia Juni 30, 2009.


PMG/CAG/DGAM/
AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumamosi
07 Aprili 2012


Wajumbe kuelekea Dodoma

Katibu wa Bunge


TANBIHI: 

·         Vikao vyote vya asubuhi vitaanza saa 3:00 Asubuhi.
·         Mapumziko ya Chai ni Saa 5:00 Asubuhi.
·         Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
·         Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
·         Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni 2010.

No comments:

Post a Comment