Tuesday, March 27, 2012

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI 25 MACHI – 7 APRILI 2012

UKUMBI: DICC
TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumapili
25/3/2012
Kuwasili Dar es Salaam
§  Katibu wa Bunge
§  Wajumbe

Jumatatu
26/3/2012
·            Shughuli za Utawala
·            Kupokea Taarifa ya hali ya uzalishaji wa umeme nchini
§  Wajumbe
§  Wizara ya Nishati na Madini
§  TANESCO
Jumanne
27/3/2012
·         Kukutana na Tanzania Renewable Energy Association (TAREA)
·            Kupokea taarifa kuhusu hali ya miundombinu ya uagizaji wa mafuta (Bulk procurement)
§  Wajumbe
§  Wizara ya Nishati na Madini
§  Wizara ya Miundombinu
§  Wizara ya Viwanda na Biashara
§  TAREA, TIPER, TPDC, TPA, EWURA, TBS na PIC
Jumatano
28/3/2012
Kupokea Taarifa kuhusu Hali ya Utafutaji wa Madini ya nchini Uranium (italics).

§  Wajumbe
§  Wizara ya Nishati na Madini
Alhamisi
29/3/2012
Kukutana na Ndugu Juma Chibaya na Patrick Ngonyani ili kupokea malalamiko yao.
§  Wajumbe
§  Wahusika

Ijumaa
30/3/2012

Kupokea Taarifa ya Utendaji wa Shughuli za Shirika la Madini la Taifa  (STAMICO) na Kitengo cha Ukaguzi wa madini ya Almasi (TANSORT)
§  Wajumbe
§  Wizara ya Nishati na Madini
§  TANSORT, STAMICO

Jumamosi &Jumapili
31/3 -1/4/2012
MAPUMZIKO

Jumatatu &Jumanne
2 -3/4/2012

Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio juu ya uendeshaji wa Sekta ya gesi pamoja na Taarifa ya CAG na GNT

§  Wajumbe
§  Wizara ya Nishati na Madini
§  CAG na GNT
Jumatano &Alhamis
4 -5/4/2012
Kuandaa Taarifa ya Shughuli za Kamati kwa Kipindi cha 2011/2012

§  Wajumbe
Ijumaa
5/5/2012
IJUMAA KUU
§  WOTE
Jumamosi &Jumapili
6 -7/4/2012
Kuelekea Dodoma
§  Wajumbe
§  Katibu wa Bunge

TANBIHI
Vikao vyote vitaanza Saa 3:00 Asubuhi
Mapumziko ya chai Saa 5:00 Asubuhi

No comments:

Post a Comment