Tuesday, March 27, 2012

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUANZIA 25 MACHI HADI 06 APRILI, 2012

UKUMBI: OFISI YA MAKAMU WA RAIS
NA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA
MHUSIKA
1.
JUMAPILI
25/03/2012

     Wajumbe kuwasili Dar es salaam

·      Katibu wa Bunge
·      Wajumbe

2.
JUMATATU
26/03/2012

·        Shughuli za utawala na kupiti ratiba

·      Wajumbe
·      Sekretarieti

3.
JUMANNE
27/03/2012

·          Kupokea na kujadili taarifa kuhusu migogoro ya Ardhi nchini
·      Wajumbe
·      Wizara ya Ardhi,
    Nyumba na  Maendeleoya Makazi
4.
JUMATANO
28/03/2012

●  Kukutana na Tume ya Taifa ya UNESCO kupata majibu na maelezo kuhusu Warsha ya Mkataba wa urithi wa Dunia wa Mwaka 1972 iliyofanyika 09/02/2012 Dodoma

●  Wajumbe

●  Wizara ya Maliasili na Utalii
·      Tume ya Taifa ya UNESCO
5.
ALHAMIS
29/03/2012

·        Kupokea taarifa kuhusu hali ya Biashara ya Utalii nchini, Ushiriki wa watanzania katika Biashara ya Utalii katika mazingira ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na hali ya Mapato ya Utalii


·      Wajumbe

·      Wizara ya Maliasili na Utalii

·      Bodi ya Utalii
6
IJUMAA
30/03/2012

●  Muendelezo wa mada iliyofanyika Bagamoyo tarehe 27/01/2012 kuhusu athari za mabadiliko ya Tabia ya Nchi katika Sekta Mbalimbali Nchini

·      Wajumbe

·      Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira

·      Institute of Resources Management (IRA)

7
JUMAMOSI
NA
JUMAPILI
31/3-1/4/2012

●  MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
·      WOTE


9

JUMATATU
02/04/2012


  • Kupitia taarifa ya kazi za Kamati kwa Mwaka 2011/2012


·      Wajumbe


10
JUMANNE
3/04/2012

·      Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa maoni ya Kamati kuhusu mipango ya Maendeleo ya Shirika la Nyumba
·      Kutembelea miradi ya Shirika
·      Wajumbe
·      Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
·      Shirika la Nyumba
11
JUMATANO
4/04/2012


·      Kupokea taarifa ya hatua zilizochukuliwa kuhusu migogoro ya Chuo cha Utalii
·      Kupata maelezo ya Serikali kuhusu mgogoro wa ardhi kati ya kijiji cha Shela Mpanda- Line na Wizara ya Maliasili na Utalii
·      Wajumbe
·      Waziri ya Maliasili na Utalii

12
ALHAMIS
5/04/2012

  • Kupokea taarifa ya Serikali kuhusu tatizo la ujangiri wa Tembo nchini
·      Wajumbe
·      Waziri wa Maliasili na Utalii
13
IJUMAA
6/04/2012

IJUMAA KUU
WOTE

14
JUMAMOSI
      NA
JUMAPILI
7/4-8/4/2012

Kusafiri kuelekea Dodoma
·      Wajumbe
·      Katibu wa Bunge

TANBIHI/ ANGALIZO:
  • Vikao vyote vitaanza saa 3:00 Asubuhi
  • Mapumziko ya Chai ni saa 5:00 Asubuhi
  • Mabadiliko ya Ratiba hii yanaweza kutokea muda wowote ikiwa Mheshimiwa  Spika atalekeza Muswada au Azimio kwenye Kamati.

No comments:

Post a Comment