UKUMBI: TUME YA KUREKEBISHA SHERIA
| TAREHE / SIKU | SHUGHULI | MHUSIKA |
| JUMAPILI 25/03/2012 | · Wajumbe kuwasili Dar es Salaam | · Katibu wa Bunge · Wajumbe |
| JUMATATU 26/03/2012 | · Shughuli za Kiutawala · Kupitia Ratiba ya Kamati · Kamati kupitia Taarifa ya Mwaka ya Shughuli za Kamati | · Wajumbe · Sekretarieti |
| JUMANNE 27/03/2012 | · Kutembelea Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa. | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya WM-Sera,Uratibu na Bunge |
| JUMATANO 28/03/2012 | · Kutembelea Tume ya Uchaguzi | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya WM-Sera,Uratibu na Bunge |
| ALHAMISI 29/03/2012 | · Kutembelea TACAIDS | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, · Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge |
| IJUMAA 30/03/2012 | · Kutembelea Mahakama ya Rufaa | ● Wajumbe |
| JUMAMOSI 31/03/2012 | · MAPUMZIKO | · Wajumbe |
| JUMAPILI 01/04/2012 | · MAPUMZIKO | · WOTE |
| JUMATATU 02/04/2012 | · Kutembelea Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora. | ● Wajumbe · Waziri wa Katiba na Sheria |
| JUMANNE 03/04/2012 | · Kutembelea ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka | · Wajumbe · Waziri wa Katiba na Sheria |
| JUMATANO 04/04/2012 | · Kutembelea Shirika la Elimu Kibaha | ● Wajumbe ● Ofisi ya Waziri Mkuu- TA MISEMI |
| ALHAMISI 05/04/2012 | · Kutembelea mradi wa mabasi yaendayo kasi-DART | · Wajumbe ● Ofisi ya Waziri Mkuu- TA MISEMI |
| IJUMAAA 06/04/2012 | IJUMAA KUU | |
| JUMAMOSI NA JUMAPILI 07/04/2012-08/04/2012 | Wajumbe kuelekea Dodoma | · Ofisi ya Bunge |
ANGALIZO;
Endapo kamati itakabidhiwa mswada wowote,ratiba itabadilika .
Endapo kamati itakabidhiwa mswada wowote,ratiba itabadilika .
No comments:
Post a Comment