Wednesday, January 4, 2017

TASWIRA ZA MNUSO WA HARUSI YA WADAU WASIA MAYA NA LAILA JIJINI HOUSTON, MAREKANI

Usiku wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila waliandaa mnuso wa nguvu wa  Harusi yao kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, Texas, Marekani.  Pata taswira  za tukio hilo hapa chini.
Newly Wed Mr. Wasia akiwa na Mkewe Bi. Laila na kijana wao Zion
Bw. Wasia Maya na Bi. Laila Martin

Lovely couple 




Zion akiwa na Baba na Mama 







































































































































































































































No comments:

Post a Comment