Asanteni, tunafuatilia sana magazeti kutoka ukurasa huu ila mbona mnachelewa sana ku update mana fans wenu wengine kazn mapema jitahidini saa12 hivi yawe hewani.....Maoni yangu
Tunashukuru sana kwa maoni mujarab. Sio nia yetu kuchelewa, huwa kuna sababu zilizo nje ya uwezo wetu, kubwa likiwa ni kuchelewa kwa supplier kuleta mzigo mapema, ama matatizo ya kiufundi ama mtandao ukiwa na kwikwi. Vinginevyo timu ipo kazini (kwa shifti) 24/7 na muarobaini wa changamoto hiyo itapatikana soon
Asanteni, tunafuatilia sana magazeti kutoka ukurasa huu
ReplyDeleteila mbona mnachelewa sana ku update
mana fans wenu wengine kazn mapema
jitahidini saa12 hivi yawe hewani.....Maoni yangu
Tunashukuru sana kwa maoni mujarab. Sio nia yetu kuchelewa, huwa kuna sababu zilizo nje ya uwezo wetu, kubwa likiwa ni kuchelewa kwa supplier kuleta mzigo mapema, ama matatizo ya kiufundi ama mtandao ukiwa na kwikwi. Vinginevyo timu ipo kazini (kwa shifti) 24/7 na muarobaini wa changamoto hiyo itapatikana soon
ReplyDeleteAnkal