Friday, March 4, 2016

WWF YATOA MREJESHO WA MAFUNZO YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWA WAKUU WA IDARA YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI

Mratibu wa Mradi wa Nishati wa Shirika la Kimataifa la Utunzaji Mazingira (WWF-Tanzania) Dkt Teresia Olemwako akizungumza wakati wa warsha ya kutoa mrejesho wa ushiriki wa Halmashauri za Manispaa katika mradi wa Earth Hour City Challange (EHCC) 2014-2015

Baadhi ya wakuu wa idara katika Halamshauri ya Manispaa ya Moshi wakishiriki haktika warsha hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi. 
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Danford Kamenya (kushoto) akiwa na mgeni rasmi katika ufunguzi wa warsha hiyo Naibu Meya wa manispaa ya Moshi,Peter Minja(kulia). 
Baadhi ya wakuu wa idara katika Halamshauri ya Manispaa ya Moshi wakishiriki haktika warsha hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi. 
Mtaalamu kutoka kituo cha Kimataifa cha uhamaji na Maendeleo (CIM) Benjamini Klaus akifuatilia jambo katika warsha hiyo. 
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Danford Kamenya akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha hiyo. 
Naibu Meya wa manispaa ya Moshi,Peter Minja akifungua warsha ya siku mbili kwa wakuu wa idara za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi iliyofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi. 
Baadhi ya Washiriki wa Warsha hiyo. 
Meneja Mradi wa ICLEI Africa Irina Velasco ,mkufunzi katika warsha hiyo akieleza jambo kwa washiriki (hawako pichani). 
Ofisa kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira,Mhandisi Ladslaus Kyaruzi akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku mbili kwa wakuu wa idara katika manispaa ya Moshi. 
Mtaalamu kutoka kituo cha Kimataifa cha uhamaji na Maendeleo (CIM) Benjamini Klaus akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa warsha hiyo yanayohusu ALAT. 
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Danford Kamenya (wa kwanza kushoto) Naibu Meya wa Manispaa ya Moshi Peter Minja na Mratibu wa Mradi wa Nishati wa Shirika la Kimataifa la Utunzaji Mazingira (WWF-Tanzania) Dkt Teresia Olemwako wakifuatilia michango iliyokuwa ikitolewa. 
Mtaalamu kutoka kituo cha Kimataifa cha uhamaji na Maendeleo (CIM) Benjamini Klaus akiongea jambo na afisa habari wa halmashauri ya Manispaa ya Moshi ,Ramadhani Hamisi wakati wa mafunzo hayo ambayo kwa kiasi yamekuwa yakizungumzia juu ya Mabadiliko ya Tabia nchini. 
Washiriki wa warsha hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi nje ya ukumbi wa Uhuru Hall.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment