Friday, June 5, 2015

TAASISI YA SITTI TANZANIA FAOUNDATION YATOA MSAADA KWA MTOTO MWENYE UVIMBE MGONGONI

 Twaha Sultan akionyesha mpira anaotumia kwa ajili ya kujisaidia hali ambayo inampa maumivu makali pamoja na kupata gharama kubwa ya kubadilisha mpira kila baada ya wiki tatu.
  Mama mdogo wa Sultan, Sarha akionyesha uvimbe unaomsumbua mtoto Twaha sultan.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu akizungumza baada ya kukabidhi msaada wa shs laki mbili kwa ajili ya kusaidia matibabu yake. 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu (kushoto),  akimkabidhi msaada wa sh. laki mbili, Sarha Magamba, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kusaidia matibabu ya mtoto, Twaha Sultan (17), mkazi wa Kipawa Karakata (katikati), ambaye ana uvimbe wa kilo nne na nusu mgongoni.Yeyote atakayeguswa na tatizo la mtoto huyo anaweza kuwasiliana na mlezi wake kupitia namba ya simu  0713970491. 

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu akiwasili nyumbani kwa mtoto Twaha Sultan Kipawa Karakata jijini Dar es Salaam ambapo alikabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu ya mototo huyo anayekabiliwa na uvimbe mgongoni. Uvimbe huo unakadiliwa kufika kilo nne na nusu na kuweza kumuathiri mtoto huyo katika masomo yake kutokana na kushindwa kwenda shule. Yeyote atakayeguswa na tatizo la mtoto huyo anaweza kuwasiliana na mlezi wake kupitia namba ya simu  0713970491.
 Mama Mdogo wa mtoto Twaha sultan (17), Sarha Magamba mkazi wa Kipawa Karakata akizungumza na waandishi wa habari kuhusu matatizo uvimbe wa ajabu katika mgngo wake mtoto sultan ambaye anahitaji kufanyiwa upasuaji. 
 Twaha Sultan akionyesha mpira anaotumia kwa ajili ya kujisaidia hali ambayo inampa maumivu makali pamoja na kupata gharama kubwa ya kubadilisha mpira kila baada ya wiki tatu.
  Mama mdogo wa Sultan, Sarha akionyesha uvimbe unaomsumbua mtoto Twaha sultan.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu.

No comments:

Post a Comment