Monday, January 5, 2015

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA POLISI MBWENI,ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati wa Zanzibar,Haji Mwadini Makame akifungua kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vijana wadogo kutoka katika kituo cha Nyerere Shaolin Group wakionyesha umahiri wa kuweza kupambana na uhalifu katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kamishna wa Polisi Zanzibar,Hamdani Omar akitoa maelezo kuhusiana na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya ndani wa Zanzibar, Mbaraka Abdullwakili akitoa hotuba na kumkaribisha mgeni rasmi katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati wa Zanzibar,Haji Mwadini Makame akitoa hotuba katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Katibu Mkuu Wizara ya mambo yandani Mbaraka Abdullwakili na kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar.
Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akimkabidhi Mwalimu Khamis Omar ambae ni mkufunzi wa Vijana wa Nyerere Shaolin Group jumla ya shi,Laki Mbili ikiwa ni mchango wake kwa vijana hao waweze kutatua matatizo yao.
Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Jeshi la Polisi katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment