Friday, December 26, 2014

DK. SHEIN AFUNGUA MASHINDANO YA RIADHA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati aliupowasili katika Uwanja wa Amaan Studium kufungua Mashindano ya Riadha ya Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo.
Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein(katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali wakiwepo Wizara ya Habari,Utalii ,Utamaduni na Michezo katika uwanja wa Amaan Studium alipofika kuyafungua mashindano ya riadha kwa Wilaya kumi (10) za Zanzibar.
Baadhi ya Vijana na watoto waliofika katika uwanja wa Amaan Studium wakati wa ufunguzi wa mashindano ya riadha kwa Wilaya kumi (10) za Zanzibar uliofanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wachezaji wa riadha wa wilaya ya wete Pemba wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein kabla ya kuyafungua mashindano ya mchezo huo kwa Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo katika uwanja wa Amaan Studium.
Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein akipunga mkono kama ishara ya kuyapokea maandamano ya wanariadha wa Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo katika uwanja wa Amaan Studium.
Waamuzi wa mchezo wa Riadha wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein kabla ya kuyafungua mashindano ya mchezo huo kwa Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo katika uwanja wa Amaan Studium.
Baadhi ya Wanachezaji wa mchezo wa riadha wakiwa wamejipanga baada ya kupita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein alipoyapokea maandamano hayo leo katika uwanja wa Amaan Studium pia wakiwepo Chama cha Watu wenye ulemavu wa viungo (SAD’Z).
Wanachezaji wa mchezo wa riadha wakiwa wamejipanga baada ya kupita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein alipoyapokea maandamano hayo leo katika uwanja wa Amaan Studium pia wakiwepo Chama cha Watu wenye ulemavu wa viungo (SAD’Z).
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa Zanzibar (BMTZ) Sharifa Khamis alipomkaribisha Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein kuzungumza na wanamichezo wa mchezo wa Riadha kabla kuzinduz rasmi mashindano ya mchezo huo leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein akipokuwa akitoa nasaha zake kwa wanamichezo wa mchezo wa Riadha kabla kuzindua rasmi mashindano ya mchezo huo yaliyoanza leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,
Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein akipiga bastola juu kuzindua rasmi mashindano ya mchezo wa riadha ya Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja (kushoto) Naibu wa Waziri wa Habari,Utalii ,Utamaduni na Michezo Bi Hindi Hamad Khamis.Picha na Ikulu.

1 comment: