| Mandhari za kuvutia ukiwa katika kilele cha kilima kilichopo katika Hifadhi ya Saaanane. |
| Ukiwa katika Kisiwa cha Saaanane mji wa Mwanza unautazama hivi. |
| Mji wa Mwanza ukionekana kwa mbali ukiwa Ziwani. |
| Mawe Makubwa yaliyoko katika Hifadhi ya Kisiwa cha Saanane . |
| Ndege wakiota Jua katikati ya Ziwa Victoria. |
| Barabara ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane. |
| Mawe ya kuvutia. |
| Mti ukiwa umejishikiza katika Mwamba mkubwa. |
| Miti ikiwa imefungamana katika Jiwe kubwa na kutengeneza kama mizizi mikubwa iliyoota kwenye Mwamba. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya
Jamii
aliyekuwa jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment