Wednesday, October 9, 2013

ujumbe wa tanzania katika maandalizi ya mikutano na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa.

 Ujumbe wa Tanzania katika majadiliano, kutoka kushoto ni Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Mwanaidi Mtanda, Kamishna Idara ya Sera Bw. Beda Shallanda, Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi wa BOT Dkt. Joseph Masawe na Bw. Said Magonya Kamishna wa Fedha za Nje akielezea jambo.
 Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Yusuph Mzee kulia, akisoma kwa makini taarifa zitakazowasiliswa katika mikutano hiyo mbele ya ujumbe kutoka Tanzania.
 Toka shoto ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa, Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Silvacius Likwelile, Mkurugenzi wa Idara ya kupunguza Umasikini MKUKUTA Bi. Anna Mwasha pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Harry Kitilya  wakisikiliza kwa makini.
 Ujumbe wa Tanzania wakisikiliza kwa makini hoja zinazotolewa na Waziri wa Fedha hayupo pichani ambaye ni mwenyekiti wa kikao hicho.
 Kutoka kulia ni Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip Mpango, Naibu Gavana wa BOT Bi. Natu Mwamba na Mchumi wa Benki Kuu Bi. Sauda Msemo  wakisikiliza kwa makini.
 Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa (kushoto), Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula wakimsikiliza  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Silvacius Likwelile akitoa ufafanuzi.
 Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akiwa katika majadiliano na ujumbe wa Tanzania kuhusu maandalizi ya mikutano na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa.
 Kutoka kushoto ni Kamishna wa Idara ya Sera Bw. Beda Shallanda akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi wa BOT Dkt. Joseph Masawe.
Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akimsikiliza kwa makini Afisa Mwambata anayeratibu masuala ya Uchumi, Biashara, na Uwezeshaji ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa Bw. Paul Mwafongo
Picha zote na Bi. Eva Valerian – Washington DC


No comments:

Post a Comment