Tuesday, October 1, 2013

MAX NA PENDO WAMEREMETA

Harusi hii ya aina yake,  imefungwa Jumaosi, Septemba 28, 2018, katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelo, Kigango cha Tabata, Dar es Salaam, na baadaye mnuso mkali ukafanyika katika Hoteli ya Serena (zamani ikiitwa Sheraton Hotel) katikati ya jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Bwana harusi, Max ambaye ni mwenyeji wa Ruvuma ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kizalendo ya Kotes Tanzania Ltd, huku Bibi Harusi Mrs Pendo Komba akiwa ni mwenyeji wa katikati ya Tanzania, mkoa wa Dodoma. Picha tulipiga nyingi sana! lakini kwa kuwakilisha hapa zipo picha 200, Karibu.
Bwana Max Komba
Mrs Pendo Max Komba
Pendo akati akiwa bado humo katika shera
Baadhi ya wageni kutoka Ruvuma wakigaragara chini kama ishara ya kumheshimu Bwana Komba, walipowasili nyumbani kwa Bwana harusi, Tabata Dar es Salaam, tayari kushiriki suguli nzima ya harusi iyo
Komba akiwa mbele ya nyumba yake, muda mfupi kabla ya kwenda Kanisani
wageni wakipata Lunch, nyumbani kwa Komba
Mapishi yakiendelea kabla ya watu kwenda harusini
Mmoja wa wapambe wa karibu akimsauri jambo Komba kabla ya kwenda kufunga ndoa
Baadhi ya waalikwa wakiwa katika basi maalum kwenda Kanisani
Na awa pia
Komba akitoka rasmi nyumbani kwenda Kanisani kufunga ndoa
Komba na mpambe wake wakiwasili kanisani
Pandre akampokea Komba na mpambe wake
Shamrashamra zikiendelea kanisani kupokea maarusi
Bi Pendo ambaye sasa ni Mrs Komba akiwasili Kanisani
Penfdo akiingia kanisani
Komba na mkewe wakiwa mbele ya Padre
Hapa wakiwa tayari kufungishwa mdo
Na hapa pia
Wakisubiri kwa hamu kufumgishwa ndoa
Padre akiwa mbele yao kuwaleza mambo muhimu yahusuyo ndoa...
Baadhi ya watoto wanafamilia, ndugu na jamaa wakiwa kanisani
Kwaya ya kanisa ikisherehesha kwa nyimbo za mapambio
Baadhi ya wazee wa karibu wa bwana harusi
waalikwa wakiwa kanisani
Maharusi na wapambe wao wakiwa kanisani
Kisha padre akaja mbele yao
'Shikaneni mikono' Padre akasema, nao wakafanya hivyo
Na Padre akaweka mkoni wake juu ya mikono yao kuwafungisha ndoa
Ikawa kama ivi...Picha kibao zaidi, tafadhali BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment