Wednesday, September 25, 2013

Wahamiaji haramu 18 toka ethiopia wakamatwa mkoani Kilimanjaro

 Wahamiaji haramu waliokamatwa wilayani Mwanga wakiwa katika gari lenye tela.wakifikishwa makao makuu ya uhamiaji ya mkoa wa Kilimamnjaro mjini Moshi
 Wahamiaji haramu waliokamatwa wilayani Mwanga wakiwa katika gari lenye tela.
 Wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia waliokamatwa eneo la Mwanga
wakitokea nchini Kenya.

 Mmoja wa wahamiaji haramu raia wa Ethiopia aliyafahamika kwa jina la Jamal Amir akilia kwa uchungu baada ya kukamatwa na maofisa wa uhamiaji katika eneo la Mwanga.
 Ni majonzi na masikitoko baada ya dili kubumburuka...
 Mkuu wa uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johanes Msumule akizungumza mara baada ya kukamatwa kwa wahamiaji haramu 18 kutoka nchini Ethiopia.
 Mkuu wa uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johanes Msumule akizungumza jambo na mmoja wa wahamiaji haramu aliyefahamika kwa jina la Jamal Amir mara baada ya kukamatwa wakiingia nchini bila kufuata taratibu.
 Baadhi ya wahamiaji haramu wakilia kwa uchungu mara baada ya kukamatwa wakiingia nchini bila kufuata taratibu.
 Wahamiaji haramu wakienda kunawa mikono na kipata chakula kilichotolewa na ofisi ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro baada ya wengi wao kuonekana kudhoofika kutokana na kukosa chakula kwa muda mrefu.
Wahamiaji haramu wakipata chakula

No comments:

Post a Comment