Wednesday, August 7, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON,UINGEREZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu Pinda wakisalimiana na baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London baada ya kuwawsili kwenye ubalozi huo kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu Pinda wakisalimiana na Watoto Tanzania nchini Uingereza uliopo London kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu Pinda wakisaini kwenye kitabu cha Wageni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6,2013. Kushoto ni Mkewe Mama Tunu Pinda.
Baadhi ya Watanzania waishio London wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo Londoni Agosti 6, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Dr.Abdallah Saleh na Mohamed na Mohame Ali Saleh ambao walikuwa ni miongoni mwa Watanzania waishio Uingereza waoshiriki katika mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakiwa katika picha ya pamoja na badhi ya Uingereza baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu Pinda wakisalimiana na Watoto Tanzania nchini Uingereza uliopo London kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6,2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

1 comment:

  1. Hii ya leo safi naona hata imelenga kuonyesha washiriki na wageni kuliko viongozi wa Ubalozi

    ReplyDelete